Wakuu nani kapata ubunge wa A.mashariki?

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,325
722
Nilisikia wabunge wa chadema kwenye bunge la A.mashariki wana chaguliwa leo.Nilisikia akina Wenje na Masha pamoja na Salumu mwalimu.Sasa amepata nani?
 
Nami nafuatilia, ila najua mda huu chama langu CDM litakuwa limeshayapata majembe mawili kutuwakilisha KIUKWELI yani kwa JASHO na DAMU uko ktk EALA na si wale wala posho tu na wasema ndiwooooo.... tulowazoea
 
Back
Top Bottom