wakuu msaada kwenu tafadhali

wakuu msaada kwenu tafadhali

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
wote humu kwaza salam kwa wote
nimepata tatizo amabalo halijawahi kunitokea katika compyuta mi si fundi ila nachokonoa chokonoa kama mashine ni yangu hua najifanyia mwenyewe ila leo kwa hili limenishinda
tatizo nimewasha mashine ambayo ilikua na windows 7 kuwaaka tu imekuja start mara imetoweka imekaa blue screen na maandishi mengi nilifikiria kua labda hard disk imesha kufa nimeenda kununua mpya 500gb ya mwanzo ilikua 750gb nimeweka hiyo nilionunua 500gb nikafanya installation mpaka mwisho nikaanza kuweka driver kwa kutumia dvd la driver park solution haikufika 100% ilifika 85% IKAZIMIKA kuwasha imekuja tena blue screen angalieni hii picha nimejaribu tena haikukubali naomba msaada kwenu wadau.
IMG_20140411_182421.jpg IMG_20140411_182408.jpg
 
kumradhi hio windows ninayo tumia ni ya france
 
washa pc, wakati inawaka bonyeza F2 mara nyingi, mpaka uingie kwenye BIOS menu, na hapo tafuta sehemu pa IDE au ACI, kama ipo IDE weka ACI na kama ipo ACI weka IDE halafu bonyeza F10 kisha enter, na ujaribu kuiwasha tena, hiyo ni Blue Screen Of Death BSoD na huzipata sana pc za Acer kama hukuweka hizo setting mwanzoni, chebi
 
Last edited by a moderator:

ahsante mkuu kwa jitihada zako ila nilisha fanikiwa tayari nili ipachika hard disk kwenye pc nyengine na nikaiformat kwa kutumia windwos xp ahsante kwa jitihada zako
 
Back
Top Bottom