Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,842
- 3,370
unatumia window gani.?Ndugu members wa jamii forum naombeni msaada, Pc yangu dell inspiron 3521 core i3 3rd generation na 4GB RAM, inazingua ukifungua file manager mwanzoni inafanya kazi fresh, lakin baadae thumbnail zote zinapotea then ina stack then huwezi fanya chochote inajamm, lakin usipofungua This PC app, hakuna tatizo,
Nimejaribu kutumia Xyproler lakini wapi, nimepiga windows na ku update PC bado hamna kitu.
Sasa ndo nikapewa wazo la kuweka OS nyingine nayo ni KUBUNTU 20.1 ili nitumie mbili pamoja na windows 10, je naweza tatua tatizo kwa hivo.
NB: Nimejaribu ku run hardware diagnosis ya hard disk lakini imesoma hamna tatizo.
Msaada wakuu, make PC ndo kila kitu ikifa hapa na zoezi la kula pindi litakua gumu zaidi.
Chief-Mkwawa
ymollel
troublemaker
pirate
Window 10 pro, before ilikuwa 8 ikaleta hlo tatizo nikabadilisha nimekaa miezi kama sita limerudi tenaunatumia window gani.?
Ok ngoja nichukue nitume broWeka basi hata picha jinsi tatizo linavyoonekana tujue pakuanzia
Tembelea hapa kwanza.Window 10 pro, before ilikuwa 8 ikaleta hlo tatizo nikabadilisha nimekaa miezi kama sita limerudi tena
Ku install dual OS sidhani kama ni suluhu kwasababu kama hiyo UBUNTU iligoma ku run properly ikiwa single sidhani kama zikiwa mbili itakubaliWindow 10 pro, before ilikuwa 8 ikaleta hlo tatizo nikabadilisha nimekaa miezi kama sita limerudi tena
Attachment tayari mkuuKu install dual OS sidhani kama ni suluhu kwasababu kama hiyo UBUNTU iligoma ku run properly ikiwa single sidhani kama zikiwa mbili itakubali
Ngoja nipite mkuu nioneTembelea hapa kwanza.
Windows 10 thumbnails all messed up? Here's how to fix it!
When thumbnails for files and folders aren't showing correctly, here's how to clear and rebuild the thumbnail cache on Windows 10.www.windowscentral.com
Nia ya kuweka duo ni kwamba windows nitumie kwa ajili ya program mbali mbali, then kubuntu iwe kwa ajili ya media playing na kusomea notes na kuhifadhi document mbalimbaliKu install dual OS sidhani kama ni suluhu kwasababu kama hiyo UBUNTU iligoma ku run properly ikiwa single sidhani kama zikiwa mbili itakubali
HaifungukiHizo hapo wakuu
View attachment 1708986
Hii tapatalk upuuzi ngoja nidownload jamii forum nitumeHaifunguki
Usisahau kuja na mrejeshoNgoja nipite mkuu nione
Ok sawa mkuu, sita achaUsisahau kuja na mrejesho
Tumia browserHii tapatalk upuuzi ngoja nidownload jamii forum nitume