Wakuu, msaada juu ya higher diploma

High diploma ni Eq. to advance diploma Eq. Bachelor degree

Kwenye matangazo huwa wanasema advance dip au degree hata ukiwa na High diploma unaomba na unapa
Hivi unajua adv diploma mtu anasoma semester 6?sasa hiyo Higher diploma itakuaje equivalent na advanced diploma au bachelor wakati yenyewe mtu anakua kasoma semester 4 tu?
 
Hivi unajua adv diploma mtu anasoma semester 6?sasa hiyo Higher diploma itakuaje equivalent na advanced diploma au bachelor wakati yenyewe mtu anakua kasoma semester 4 tu?

Sijui kama unaelewa equivalent

Equal - Sawa
Equivalent - Sawia

Pia jua mfumo wa Nacte (NTA) ndio utaelewa nini nasema.

Mfumo wa Nacte kwa NTA kila level ni award na ina cheti chake na ni tuzo kamili. Watu walio na NTA level 7 ni wapo kundi moja na watu wa Level 8 bachelor degree na ni sawa na Advance diploma kwenye mtaala wa Uingereza ambao tulisha achana nao.

kama umesoma Matangazo ya kazi huwa wanasema pia na Equivalent, huwa wanajua kuna watu wana tuzo ambazo zinalingana

Rejea mifano hii ya ajira.
 
Mimi nimeshakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…