Majesty S P Member Joined Sep 24, 2020 Posts 62 Reaction score 88 Jan 10, 2021 #1 Tarehe 31.12.2020 Kampuni ya pivotech ilitoa vacancy ya nafasi 5 za Field Operation Officer wakasema ndani ya siku 14 usipopigiwa Simu ujue haujafanikiwa kuitwa napenda kujua kama weshaita baadhi ya watu kwenye interview.
Tarehe 31.12.2020 Kampuni ya pivotech ilitoa vacancy ya nafasi 5 za Field Operation Officer wakasema ndani ya siku 14 usipopigiwa Simu ujue haujafanikiwa kuitwa napenda kujua kama weshaita baadhi ya watu kwenye interview.
msomi uchwara JF-Expert Member Joined Oct 17, 2017 Posts 4,794 Reaction score 9,158 Jan 10, 2021 #2 Lakini mkuu siku si bado hazijaisha au mimi sijaelewa
Majesty S P Member Joined Sep 24, 2020 Posts 62 Reaction score 88 Jan 10, 2021 Thread starter #3 msomi uchwara said: Lakini mkuu siku si bado hazijaisha au mimi sijaelewa Click to expand... Ndio bado muda mkuu bado siku 6.
msomi uchwara said: Lakini mkuu siku si bado hazijaisha au mimi sijaelewa Click to expand... Ndio bado muda mkuu bado siku 6.
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,472 Reaction score 14,510 Jan 10, 2021 #4 Sasa kama bado mbona una kiherehere si ungojee siku ziishe? Majesty S P said: Ndio bado muda mkuu bado siku 6. Click to expand...
Sasa kama bado mbona una kiherehere si ungojee siku ziishe? Majesty S P said: Ndio bado muda mkuu bado siku 6. Click to expand...
I imokola Senior Member Joined Aug 13, 2019 Posts 189 Reaction score 352 Jan 11, 2021 #5 [emoji2][emoji2]
B Bakariforever JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 510 Reaction score 514 Jan 11, 2021 #6 mbu wa dengue said: sasa kama bado mbona una kiherehere si ungojee siku ziishe? Click to expand... Kiherehere kinasababishwa na mtaani kugumu na mbaya zaidi game la ajira halina hata fair play ππππ
mbu wa dengue said: sasa kama bado mbona una kiherehere si ungojee siku ziishe? Click to expand... Kiherehere kinasababishwa na mtaani kugumu na mbaya zaidi game la ajira halina hata fair play ππππ
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 10,472 Reaction score 14,510 Jan 11, 2021 #7 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Bakariforever said: Kiherehere kinasababishwa na mtaani kugumu na mbaya zaidi game la ajira halina hata fair play [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Bakariforever said: Kiherehere kinasababishwa na mtaani kugumu na mbaya zaidi game la ajira halina hata fair play [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand...
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,758 Reaction score 8,043 Jan 11, 2021 #8 Acheni UFALA,tangazo la kazi lilivotoka hamukuja kutuambia ninyi