JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Aug 22, 2012 #1 Leo nilikuwa Chato, Magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa Arusha na Moshi. Je ni kweli?
Leo nilikuwa Chato, Magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa Arusha na Moshi. Je ni kweli?
MWILI NYUMBA JF-Expert Member Joined Jun 18, 2012 Posts 817 Reaction score 256 Aug 22, 2012 #2 Nadhani hizo ni siasa tu!lakini nadhani walimu wa maeneo tajwa tunao huku ngoja waje watuambie ukweli.
Nadhani hizo ni siasa tu!lakini nadhani walimu wa maeneo tajwa tunao huku ngoja waje watuambie ukweli.
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,505 Aug 22, 2012 #3 JamboJema said: Leo nilikuwa chato, magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa arusha na moshi. Je ni kweli Click to expand... so what??? sijaelewa mantiki ya kusema hivi ilikuwa nini
JamboJema said: Leo nilikuwa chato, magufuli alikuwa na mkutano hapo. Alidai walimu waligoma kote isipokuwa arusha na moshi. Je ni kweli Click to expand... so what??? sijaelewa mantiki ya kusema hivi ilikuwa nini
N ndomyana JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 5,724 Reaction score 2,262 Aug 22, 2012 #4 Huyo analopoka hivohivo hadi kamsababishia kafumu avuliwe madaraka
U Ubungo JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 1,303 Reaction score 340 Aug 22, 2012 #5 Kwa kuwa wapo watasema wenyewe
Edson JF-Expert Member Joined Mar 7, 2009 Posts 9,986 Reaction score 5,708 Aug 22, 2012 #6 huyo si ndio kamrubuni mwenzake hadi amevuliwa ubunge?!!..ni mropokaji huyo
Mangaline JF-Expert Member Joined May 19, 2012 Posts 1,045 Reaction score 222 Aug 22, 2012 #7 Mgomo haukuwa na tija, hivyo great thinkers wote hawakugoma.
bluetooth JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 4,401 Reaction score 2,556 Aug 22, 2012 #8 uropokaji huu huu ndiyo umem-cost kafumu ... wacha aendelee hajui kesi ipo mahakamani
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Aug 22, 2012 Thread starter #9 mwana mpotevu said: Click to expand... nahisi alitaka kuwananga cdm akiaminisha ndo chanzo cha mgomo!
mwana mpotevu said: Click to expand... nahisi alitaka kuwananga cdm akiaminisha ndo chanzo cha mgomo!
Lawrence Luanda JF-Expert Member Joined Nov 19, 2011 Posts 703 Reaction score 77 Aug 22, 2012 #10 Huyu namwona yuko vizuri kwenye utendaji ila siasa kama kaingia choo sicho
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 12,231 Reaction score 9,552 Aug 22, 2012 #11 Mzee wa lubambagwe kwa porojo hajambo.
Tukundane JF-Expert Member Joined Apr 17, 2012 Posts 12,231 Reaction score 9,552 Aug 22, 2012 #12 Mzee wa lubambagwe kwa porojo hajambo.
Pangaea JF-Expert Member Joined Jun 14, 2012 Posts 202 Reaction score 41 Aug 22, 2012 #13 Huyu bado anahoma ya jinsi alivyochemka Igunga.
M Mwanandani Senior Member Joined Apr 5, 2012 Posts 195 Reaction score 44 Aug 22, 2012 #14 Huyu mzee waku kariri kilometa za lami anzia uhuru,naisi anavuta bangi.nipo arusha shule zote walingoma.
Huyu mzee waku kariri kilometa za lami anzia uhuru,naisi anavuta bangi.nipo arusha shule zote walingoma.
O Odb Member Joined Jan 2, 2012 Posts 24 Reaction score 1 Aug 22, 2012 #15 hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???
hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Aug 23, 2012 Thread starter #16 Odb said: hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???.... Click to expand... Kwenye hotuba yake alikuwa akichanganya na kisukuma. Aidha, jina 'Magufuli' linaelekea kwa wasukuma. Ila sina uhakika.
Odb said: hivi huwa ni kbila gani vile kuna mtu aliniambiaga eti ni muhaya ila anajitaja kuwa ni msukuma wa Chato hivi kuna ukweli hapo???.... Click to expand... Kwenye hotuba yake alikuwa akichanganya na kisukuma. Aidha, jina 'Magufuli' linaelekea kwa wasukuma. Ila sina uhakika.
JamboJema JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,143 Reaction score 209 Aug 23, 2012 Thread starter #17 Mwanandani said: Huyu mzee waku kariri kilometa za lami anzia uhuru,naisi anavuta bangi.nipo arusha shule zote walingoma. Click to expand... Nashukuru kwa taarifa...Naona zilikuwa siasa tu!
Mwanandani said: Huyu mzee waku kariri kilometa za lami anzia uhuru,naisi anavuta bangi.nipo arusha shule zote walingoma. Click to expand... Nashukuru kwa taarifa...Naona zilikuwa siasa tu!
K kilema pofu Member Joined Aug 12, 2012 Posts 28 Reaction score 3 Aug 23, 2012 #18 Mkuu ukiona hivyo ujuwe wame ishiwa sera
Manyi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2011 Posts 3,253 Reaction score 605 Aug 23, 2012 #19 Sera za kuwadanganya Wananchi wa nyakati za sasa hawana, kwa hiyo watabaki wanapiga uongo sana!