Wakuu, hii Iphone ni original au???

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Habari wakuu,
Nina simu ya Iphone.

Model No : A1241 FCC ID : BCGA 1241 IC ID : 579C-A1241.

Ni nyeupe, nyuma imeandikwa DESIGNED BY APPLE IN CALFONIA , ASSEMBLIED IN U.S.A

Jamani hii simu mimi siielewi. Kwanza hii simu sehemu ya kuweka laini siioni na sehemu ya kuweka memory card siioni ila kwa ndani nimeona ina 32GB. Kamera yake ni ya kawaida tu hata siyo nzuri sana.

Hivi hii kitu ni orijinal kweli??? Na nitajuaje kama ni original maana nataka nitakapoiuza nimwambie kabisa mnunuzi kwamba ndugu yangu hii kitu ni ya kina HANG KONG CHANG .


Nisaidieni wakuu
 

Wewe mwenyewe nakuona kama siyo original vile, ulishawahi kushika iPhone yoyote au hiyo ndiyo mara ya kwanza?!!!! Hakuna iPhone yenye memory card!!! Kama ni 3G au 3G S line yake inakaa kwa juu kuna sehemu ukiingiza pini itatoka sehem ya kuwekea line!
Kwa hiyo model number inatakiwa iwe iPhone 3G, 8 au 16Gb, lakini yako inaonesha ni 32Gb!!! Halafu umesema kwa nyuma imeandikwaje?!! Most likely ni Mchina.
 

aaaaaaah aaah kwa hiyo jamaa na yeye ni feki?...duh
 

mkuu, hii kitu ( IPHONE ) ndiyo mara ya kwanza kuikamata.
 

Mrudishie uliyomkwapulia
 
hivi mpaka leo mna hangaika na iPhones? hizo simu pamoja na blackberry waachieni ma sister du.
tafuta android (Xperia, HTC au Galaxy )
 
hivi mpaka leo mna hangaika na iPhones? hizo simu pamoja na blackberry waachieni ma sister du.
tafuta android (Xperia, HTC au Galaxy )

Hayo maneno sijui umezitoa wapi!!!...hebu angalia ni wadada wangapi wanatumia Samsung na HTC kisha angalia ni wangapi wanatumia iPhone!!!!...wewe kama unapendelea Android kwa sababu ya apps za bure heri, acha watu wanaopenda iOS waendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…