Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 248
Habari wakuu,
Nina simu ya Iphone.
Model No : A1241 FCC ID : BCGA 1241 IC ID : 579C-A1241.
Ni nyeupe, nyuma imeandikwa DESIGNED BY APPLE IN CALFONIA , ASSEMBLIED IN U.S.A
Jamani hii simu mimi siielewi. Kwanza hii simu sehemu ya kuweka laini siioni na sehemu ya kuweka memory card siioni ila kwa ndani nimeona ina 32GB. Kamera yake ni ya kawaida tu hata siyo nzuri sana.
Hivi hii kitu ni orijinal kweli??? Na nitajuaje kama ni original maana nataka nitakapoiuza nimwambie kabisa mnunuzi kwamba ndugu yangu hii kitu ni ya kina HANG KONG CHANG .
Nisaidieni wakuu