Wakuu hii Gesti iko mitaa ya wapi vile?

short time itakuepo kweli?maana sisi ni wateja wa mchana
 
Dah...bila cheti cha ndoa hapo sidhani kama wiwili mnaweza kuingia...... kwani mkuu Ab-Titchaz pic umeitoa wapi?
 
kuna guest house huwa nafikia pale mbeya inaitwa '10 commandments',huna cheti cha ndoa huingii ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…