Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,219
katoto kazuri si wewe ile id yako nyengineK
Katoto kazuri??
Who is thT??
Haujakutana naye safarini.
Mmlikuwa mmetoka naye huko kwako ulimwambia nisindikize mahali .
Umeelewa . Akatoka huko bila kuaga alikiwa kavaa nguo nyeupe na alikuwa mzuri sana kaumbika mrefu .
Ila kusafiri kwa sana akakosa pumzi badala ya kumsaidia kumpa huduma ya kwanza ulikuwa unamuangalia .
Wewe niendelee au niache gari ilikuwa kubwa nyeusi . Ila uliogopa nakufanyaje
Mwambie aseme ukweli. Umeambiwa useme ukweli .
Unateseka na huna uhuru kuwa huru ila ni ndugu wa rafiki kipenzi mwambie ataelewa .
Usifiche na umeshaoa
Hahahahahaha.Na Hakuna aliemfikia mpk sahv,
Mswati anafukuzia fukuzia[emoji4]
Huyo mwanamke mmoja alitongozwa na nyoka mpaka leo tuna nyooka, we unataka mume wa pekeyako je huyo mume umempa bikira yako? Au gari ishaenda kilometa 80 ndio unakuja kutufokea huku, nasubiri jibu.Mwanaume sikia hii uwe mume bora
Mwanaume nguvu zako ni kwa ajili ya mke mmoja siyo wanawake wotee
Mithali 31 :3
Usiwape wanawake nguvu zako :
Mungu alimpa mwanaume mke huyu mmoja kwenye bustani ya edeni. Huyo wa pili anaye fanya ndoa aina amani ameletwa na shetani kushindana na mungu. Mwanzo 2:18 - 25
Samsoni alikuwa na nguvu nyingi lakini kwa kuwa alipenda makahaba akamvaa derila kumbe hakuja kwa mapenzi alikuja kuchukua nguvu za samsoni.
Waamuzi 16:1
Samsoni akaenda gaza akaona huko mwanamke kahaba akaingia kwake.
Waamuzi 16:6
Derila akamwambia samsoni tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi na jinsi uwezavyo weza kufungwa ili uteswe.
Samsoni kwa kubembelezwa na derila akimdanganya anampenda alitoa nguvu zake naatimae wafilisti waliomtuma derila wakamuua samsoni waamuzi 16:15-23
Nini unajifunza hapo mke wako ndio anatakiwa apate nguvu zako hao wanawake wazuri unaowaona sasa wapo kazini wametumwa na shetani
Kaka zangu na baba zangu. Mke wako ni mzuri sanaa na ndio mana ulimuoa acha zambi itakuuwa shetani yupo kazini anatumia warembo. Mbona kabla ujaoa ujakuwa hivyo? Tafakari sanaa mungu akukomboe kupitia andiko hili
Mithali 18 :22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa bwana.
Muulize anaye mpenda mke wake kweli na asiye chepuka akuonyeshe mafanikio yao ndio utaamini kuwa neno la mungu ndio usalama wako ubarikiwe sanaa kaka na baba
View attachment 2234655
Huyo Hawa mwenyewe anayemtja alipigwa saund 1 mpaka leo tunapogika.1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.
2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.
3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.
4. Unamzungumziaje YAKOBO
5. .......
Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
Weee kumbe??? Mafuta gani hayo??Dawa ya kutu ni mafuta[emoji1787]
Hujachokoza nyuki kijana coz hata kwenye kusema Samson aliuliwa na Wafilisti amekosea. Samson ndiye aliyewauwa wafilisti kwa kuangusha nguzo za hekalu na jengo zima kudondoka chini baada ya kutubu na kuomba nafasi/kibali nyingine mbele za MunguDelila sio Derila.
najua nimechokoza nyuki.
Unateseka seriously potelea mbali .katoto kazuri si wewe ile id yako nyengine
Ni kweli napenda watoto wazuri walio umbika hasa wenye chura
Ila huko kwengine ulikoandika hata sielewi umeandika nini hati mbovu
Hata mbovu kiswahili hakieleweki
Is that weird ? I'm turned on na huu mwandiko wako
Alitubu na akapewa nguvu tena na wakafa wote ila ukweli ni huu hapa unapokwenda kwa malaya ndio nguvu zinatoka hadi uje uoe huwezi hata round mbili mnazimia kwenye inshu ni aibu wazee wenu walikuwa ishu wanapiga kama nini.Hujachokoza nyuki kijana coz hata kwenye kusema Samson aliuliwa na Wafilisti amekosea. Samson ndiye aliyewauwa wafilisti kwa kuangusha nguzo za hekalu na jengo zima kudondoka chini baada ya kutubu na kuomba nafasi/kibali nyingine mbele za Mungu
Acha kuzini usichanganye madaHuyo mwanamke mmoja alitongozwa na nyoka mpaka leo tuna nyooka, we unataka mume wa pekeyako je huyo mume umempa bikira yako? Au gari ishaenda kilometa 80 ndio unakuja kutufokea huku, nasubiri jibu.
Jamani katoto kazuri hizi Ramli unatoa wapiUnateseka seriously potelea mbali .
Shauri yako you will never be at peace until you tell everyone the thruth about that lady
Alikosa pumzi hukumzima wewe shida uliofanya ni hii uliogopa ukamwacha kwenye lile pori .Jamani katoto kazuri hizi Ramli unatoa wapi
Kuna mwanaume mmoja ni tahira na mshenziKuwa na mwanamke mmoja ni ulemavu wa mwili na akili.
#MaendeleoHayanaChama
Yakobo alifanyaje??.1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.
2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.
3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.
4. Unamzungumziaje YAKOBO
5. .......
Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
.Alikosa pumzi hukumzima wewe shida uliofanya ni hii uliogopa ukamwacha kwenye lile pori .
Ungempeleka tu hospitali may be hakuwa kasepa au ungefungua vioo.
Ila kwa woga ulimwacha porini.
Ila hadi leo ukikumbuka tukio unakunywa mbaya sana pole .
Nahaunywagi?
Naulivyomstaarabu sasa pole
1. Unamzungumzia ibrahimu baba wa Imani aliemtafuna hausigelo wake.
2. Unamzungumzia mfalme suleimani alietafuna Wanawake 700 na Michepuko 300.
3. Unamzunguziaje Lutu aliewatafuna mabinti zake wakuwazaa baada ya kupiga ulabu.
4. Unamzungumziaje YAKOBO
5. .......
Kuchepuka ingekua Ni dhambi,
bila shaka mungu angeanza kushughulika na hao ambao Ni vioo vyetu vya imani
Sawa tania ukiwa serious mzimu ukikujia ukakunyima raha usinitafute
Mi nakupenda mamiloo na kiswahili chako kibovuSawa tania ukiwa serious mzimu ukikujia ukakunyima raha usinitafute
Poa ila jua kuna deadlineMi nakupenda mamiloo na kiswahili chako kibovu