Mkuu inabidi na wewe ujiongeze. Fanya hivi pale kituo cha mwendo kasi gerezani kama unaenda shule ya uhuru kuna parking kwa siku nzima 2,000/=. Au Shule ya sekondari Gerezani nako 2,000/= kwa siku.
Kama unakaa maeneo yenye shida ya usafiri jioni na asubuhi unaweza kupakia abiria kwa 2,000/= kwenda na kurudi hukosi 14000