Wakulungwa hivi ni kweli huwa mnapiga bao 7+ au ni mbwembwe tu?

Kwani mkuu kupiga bao nyingi ndio urijali?

Mfano: Mimi juzi jumanne nimeshinda na demu kuanzia saa 4 asubuhi mpaka kwenye saa 12 jioni, tumeenda zaidi ya "raundi" tano, ila sijapiga bao hata moja! Ina maana tulikua tunaenda mpaka yeye akimaliza tunapumzika, baadae namuandaa tunaanza tena. Kesho yake demu ananiambia anaumwa kila mahali kashinda amelala kutwa nzima. Je, mimi sio rijali?
Na wewe umetudanganya! Saa 4 hadi saa 12 hujapiga bao unamkojolesha mtoto wa watu tu ...

Raha ya mechi magoli mkuu!
 
natumaini mko poa

hii kitu naona imezid kushika Kasi hapa jf ,katika miaka yangu yote 24 ya uzinifu nimelala na wanawake 51 (wazuri kwa wabaya)ila sijawah kuzidisha bao 4-5 kwa mwanamke mmoja.

siongelei kwa usiku mmoja au kwa siku nzima ,naongelea ile unagegeda unamwaga unaunga Tena unapumzika unaunga Tena had unafika 7 au 8

Sasa Kuna watu wao daily wanasema Mara oo mi bila kupiga bao 7 au 8 kwa demu sijiskii kabsa.au wengi mnatumia sembe ya kongo
Hii ilikuwa zamani ndiyo goli 7 kwa sasa si kweli na imetokana na kemikali za kila aina kutoka kwenye vyakula na vinywaji ndio maana kwa miaka hii hata Kaizer Chiefs wamejitahidi sana wameishia 4 tu, mara nyingi goli huishia 3 kwa miaka hii na ni nzuri kwa afya yako. Ukisikia wale wanaosema tunapiga 5 au 7 uwanja wa Mkapa ujue ni hasira tu labla iwe ni kisasi lkn sio burudani
 
😂😂😂😂😂kwani wewe unatunia kilainishi gani kama game inabidi iende extra rime ili kutafuta mshindi!? 😜😜😜
Kaka mkubwa,hili swali wewe wa pili sasa unauliza,.mnanifikirisha bwanaa😂😂😂
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa bao Saba zote izo huyo mwanamke atakuwa na hali gani, dakika 30×7=210
210÷60=3.5
Masaa matatu na nusu anasuguliwa!!??
Labda kiwe kibamia au bao za dakika tatu tatu
 
Asikudanganye mtu dogo bao 7 zipo kikubwa Ni utashi (nyoka wengi ),jitihada,moyo wa kujitoa,usisahau na kumtanguliza Mungu
 
Mi ikizidi sana bao nne. Tena hapo tumesex siku nzima toka saa tano hadi saa kumi hivi. Tena sio za kuunga. Ila km tumesafiri hatuna kazi zaidi ya kudinyana hapo hata kumi kwa siku huwa zinafika ili mradi shibe na chakula cha maana
 
natumaini mko poa

hii kitu naona imezid kushika Kasi hapa jf ,katika miaka yangu yote 24 ya uzinifu nimelala na wanawake 51 (wazuri kwa wabaya)ila sijawah kuzidisha bao 4-5 kwa mwanamke mmoja.

siongelei kwa usiku mmoja au kwa siku nzima ,naongelea ile unagegeda unamwaga unaunga Tena unapumzika unaunga Tena had unafika 7 au 8

Sasa Kuna watu wao daily wanasema Mara oo mi bila kupiga bao 7 au 8 kwa demu sijiskii kabsa.au wengi mnatumia sembe ya kongo

Yani miaka 24 hadi sasa ushatumia wanawake 51 tu??? we jamaa acha uvivu
 
Ukiona umepiga cha kwanza na demu akakuruhusu tuu kiurahis rahis upige cha pili ujue hujamkuna vzur.

Sie wengne tunapigaga ki1 tu..ila bint hatak tena kurudia na analala kama amekufa na kukoroma kabisa baada ya shuguli...

Nmesahau lini nimepiga zaid ya viwil..nahis mda mref sana nilipokua chuo labda.

Upige heavy pumps+ big size..+50min...demu hawez taman tena had zipite siku3

Naongelea experience yangu wakuu..mi siwez piga zaid ya bao1...siwez yan
 
natumaini mko poa

hii kitu naona imezid kushika Kasi hapa jf ,katika miaka yangu yote 24 ya uzinifu nimelala na wanawake 51 (wazuri kwa wabaya)ila sijawah kuzidisha bao 4-5 kwa mwanamke mmoja.

siongelei kwa usiku mmoja au kwa siku nzima ,naongelea ile unagegeda unamwaga unaunga Tena unapumzika unaunga Tena had unafika 7 au 8

Sasa Kuna watu wao daily wanasema Mara oo mi bila kupiga bao 7 au 8 kwa demu sijiskii kabsa.au wengi mnatumia sembe ya kongo
Mwanaume halisi ni yule anayemkojolesha mwanamke mikojo 7 au zaidi (satisfaction)

Jipe sifa kama una uwezo wa kukojolesha mwanamke maana kwa hakika akitoka hapo ataona wanaume wengine wote ni kama miti ya miende (does no value).

Kujitapa umepiga bao nyingi ilihali mwanamke umempigisha single score huo sio uanaume ni uvulana.

Kuna kundi kubwa la wanawake mitaani wanalalama hawafikishwi kibo kwa sababu ya tabia za kivulana za kujinasibu kupiga bao nyingi wakati hawakidhi kiu za wenzi wao.
 
Back
Top Bottom