jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,204
- 42,942
Huu ni msimu wa pili toka jiwe ondoka..sasa mbona mambo yanazidi kudorora.Aliyeharibu zao la korosho ni Jiwe
Jiwe aliharibu sanaHuu ni msimu wa pili toka jiwe ondoka..sasa mbona mambo yanazidi kudorora.
Korosho imeharibiwa na walamba asali..viongozi wa kusini wengi ni madalali wakubwa wa korosho.
Jiwe alijaribu kuwafunga speed gavana..sasahivi hayupo wanajipigia tu.
#MaendeleoHayanaChama
Jiwe aliharibu vipi na wapi?mana toka aingie madarakani ndio korosho ilipanda bei sana..kumbuka msimu wa 2016/2017 korosho ilifika hadi 4000tsh kwa kilo...je lini katika historia ya nchi hii korosho ilishawahi kufika bei hiyo.?Jiwe aliharibu sana
Jiwe aliharibu kila chanzo cha mapato kwa wananchiJiwe aliharibu vipi na wapi?mana toka aingie madarakani ndio korosho ilipanda bei sana..kumbuka msimu wa 2016/2017 korosho ilifika hadi 4000tsh kwa kilo...je lini katika historia ya nchi hii korosho ilishawahi kufika bei hiyo.?
Acha kuwa na akili za kushikiliwa toa sababu za kwanini aliharibu..wewe mzee wa choma choma na kangomba.
#MaendeleoHayanaChama
HujielewiJiwe aliharibu kila chanzo cha mapato kwa wananchi
Wewe na mjomba wako jiweHujielewi
Toa vielelezo , tetea hoja yakoHujielewi
Haya mamia ya malori huku barabara ya Kilwa yanayoenda DSM huku yakiwa yamebeba shehena ya korosho ni ya nani?Wakulima wakorosho sasa wapambane na hali zao..hakuna wakuwatetea..viongozi wao ndio madalali wa korosho.
#MaendeleoHayanaChama