Kuna wana ukiwa lazima wapinge na hili pia...zanzibar24.co.tz
Maamuzi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, kuwa serikali inabeba jukumu la kununua Korosho kwa bei ya shilingi 3,300 kwa kilo imewafurahisha Wakulima wa zao hilo Mkoani Mtwara. Rais Magufuli alifikia uamuzi huo baada ya wafanyabiashara kuonekana wakiwalalia wakulima wa Zao hilo kwa kutaka kununua Korosho kwa bei isiyoridhisha ambapo awali waligomea uamuzi wa Rais Magufuli alipowataka wanunue kwa Tsh......
http://zanzibar24.co.tz/wakulima-waungana-kumpongeza-rais-…/
shangazi zako walisalimika kukichezea kichapo ivi unakumbukaNi habari Chungu sana kwa Vibaraka wa mabwanyenye.
Kusini Kucheleeeeeeee...
Michezo ya Amber Rutty imekuharibu zipompa!shangazi zako walisalimika kukichezea kichapo ivi unakumbuka
“A man who stands for nothing will fall for anything.” By Malcom XHiki ndo 98% ya watu wanatakiwa wakiamini kwamba alieleta tatizo ndo huyo huyo anaesifiwa kulitatua, baada ya kuwatoa kafara mawaziri, itachukua miongo mingi sana watu kujitambua
Yeye ndiye aliyeshusha bei soko la dunia?Unaweza kuja na uchanganuzi ukionesha kwanini wafanyabiashara waligoma bei ya 3000 na walikua sahihi?Hiki ndo 98% ya watu wanatakiwa wakiamini kwamba alieleta tatizo ndo huyo huyo anaesifiwa kulitatua, baada ya kuwatoa kafara mawaziri, itachukua miongo mingi sana watu kujitambua
Deni halifungikiongozi wa chama cha msingi kanifurahisha sana, anafurahia wakati wakulima wanalipwa cash na madeni watakuja kulipa baadae
najiuliza kama mkulima alichukua pembejeo za m.1 ila mauzo yake ni laki 8 na amepewa cash je? atapeleka laki 8 zote ama atauchuna
Hayo ni makubariano ya anayetoa mkopo na anayepokea, mnunuaji hayamhusu na hajui na Hana haja ya kujua muuzaji anadaiwa wapi na ni kiasi gani, kwani alipokuwa anakopa huyo pembejeo, mnunuaji alipewa taarifa ?? Iweje Leo yupo katika kununua umjie na habari zako hizo?? Mtadaiana huko mlikokopeshanakiongozi wa chama cha msingi kanifurahisha sana, anafurahia wakati wakulima wanalipwa cash na madeni watakuja kulipa baadae
najiuliza kama mkulima alichukua pembejeo za m.1 ila mauzo yake ni laki 8 na amepewa cash je? atapeleka laki 8 zote ama atauchuna
Wewe kilaza pesa zilizokwapuliwa kwa sheria ndo ilibidi zi subsizide hio tofauti ya bei kama soko la dunia bei imeshuka tofauti inatolewa hapoYeye ndiye aliyeshusha bei soko la dunia?Unaweza kuja na uchanganuzi ukionesha kwanini wafanyabiashara waligoma bei ya 3000 na walikua sahihi?
We ndio kilaza na pimbi. Nimekuuliza bei iliyotajwa ya 3000 ni bei isiyowezekana?Nimeomba uje na ufafanuz kwanini iwe 2700 na serikali iongezee 300 na kwanini isiwe 3000 na kisiongezwe chochote?Kwamba wewe na genge lako ndio mnauelewa mpana wa bei ktk soko la dunia kuliko serikali?Acha kukarrshwa nyumb***** wewe.Wewe kilaza pesa zilizokwapuliwa kwa sheria ndo ilibidi zi subsizide hio tofauti ya bei kama soko la dunia bei imeshuka tofauti inatolewa hapo
Ujenzi wa viwanda huko huko inakolimwa ndio ukombozi wa uhakika. Kinachofanyika sasa ni hatua za muda tu.
Hii ndio fursa kwa wasomi wanaotoka mikoa ya Lindi na Mtwara, wajipange kwa kutafuta vitendea kazi kwa ajili ya ujenzi wa viwanda.
Wadau wa maendeleo wa mikoa hii yenye kulima korosho, ipo haja ya kuandaa kitu kama kongamano la kubadilishana mawazo juu ya namna za kuweza kupata mtaji wa kujenga viwanda.
Haifurahishi kuona wadosi ambao ni watu wa kati wanatajirika halafu mkulima anaishia kufa na umaskini wake.
huelewi makato ya madeni ya vyama vya ushirika yalivyo ko kuwa mpoleDeni halifungi