bujumbura
Member
- Nov 18, 2016
- 69
- 84
Wakulima huuza mazao yao mara tu baada ya kuvuna na wengine huyauza yakiwa bado yapo shambani.
Sirahisi kukuta mkulima anamazoa baada ya miezi mitatu mpaka minne.
Wenye uwezo wa kubaki na mazao kipindi kirefu ni wale wajanja ambao hungoja wauze msimu wa kilimo ukifika ili wapate nguvu ya fedha kwaajili ya kulima tena.
Wafanyabiashara wao hununua mazao kwa wakulima wakati wa mavuno na kuyahifadhi ili kungoja bei iwe nzuri.
Kauli ya rais Magufuri alipokuwa shinyanga ya kuwahimiza wakulima wauze vyakula kwa bei kubwa ikiwezekana gunia moja libadarishe kwa ng'ombe watatu ni dhahiri kuwa imewapa nafasi wafanya biashara kuuza chakula bei kubwa pasipo kujua.
Kwa maana nyingine wakulima watakumbwa na njaa kwa sababu rais amehimiza bei ipande.
Wakulima najua mlishangilia ile kauli pasipo kutafakari sasa kazi kwenu