UNDENIABLE
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 2,326
- 1,315
Wakati Kikwete akiwa Rais wa JMT mwanaye Ridhiwani ni mbunge wa jimbo la chalinze!, So far Mama Samia Hassan Salum mama wa watoto wa nne wakati akiwa waziri na sasa ni makamu wa Rais wa JMT mwanaye Wani Hafidh Ameir (1982) ni mwakilishi maalum katika bunge la Zanzibar.
Hapa Kazi Tu!
Chanzo: BBCswahili
Hapa Kazi Tu!
Chanzo: BBCswahili