Gerald Robert
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 337
- 219
Ni ikweli usiopingika kwamba, Wakristo wengi (sio wote) huwa wanaona aibu kubariki chakula pindi wanapokuwa kwa Mama lishe wakipata huduma ya chakula.
Kwanini jamani!!!
Kwanini jamani!!!
Aonaye soni imani yake haba..!Ni ikweli usiopingika kwamba, Wakristo wengi (sio wote) huwa wanaona aibu kubariki chakula pindi wanapokuwa kwa Mama lishe wakipata huduma ya chakula.
Kwanini jamani!!!
Ni ikweli usiopingika kwamba, Wakristo wengi (sio wote) huwa wanaona aibu kubariki chakula pindi wanapokuwa kwa Mama lishe wakipata huduma ya chakula.
Kwanini jamani!!!
Wewe umejuaje hao ni Wakristo?Ni ikweli usiopingika kwamba, Wakristo wengi (sio wote) huwa wanaona aibu kubariki chakula pindi wanapokuwa kwa Mama lishe wakipata huduma ya chakula.
Kwanini jamani!!!
Wewe umejuaje hao ni Wakristo?
Mimi naamini kuwa Mkristo anye jitambua hana aibu mahali popote pale. Lukewarm people who are going to Church are not Christians.
Wewe umejuaje hao ni Wakristo?
Mimi naamini kuwa Mkristo anye jitambua hana aibu mahali popote pale. Lukewarm people who are going to Church are not Christians.
hivi kwa nini huwa hatusali kabla ya kuanza mchakato wa 6 x 6 ?