Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,217
- 166,217
🤣🤪😅😂😆 akusikie johnthebaptistUkristo na CCM ni vitu viwili tofauti kwa jinsi nilivyosoma Mkristo anavyotakiwa awe.
CCM imejaa dhuluma, wenye haki hawapati nafasi sababu tu hawana hela ya kuhonga wajumbe, hawana makundi, nk.
CCM imejaa wanafiki, waongo, wazandiki, wenye husuda, wachawi, walafi na wasio na utu.
Shetani yuko busy kuliko watu wa Mungu. Nimesikitika juzi jumapili, kanisani kuna mchungaji katoa ushuhuda jinsi alivyokuwa anaenda kwa wagangaDunia ilivyovurugana ni balaa
Hakika. Tena hatuutumii Ukristo wetu vizuri ili ugeuke kuwa baraka zinazo onekana kwa macho.Ukristo ni Baraka
Mungu atusaidie kwa kweliShetani yuko busy kuliko watu wa Mungu. Nimesikitika juzi jumapili, kanisani kuna mchungaji katoa ushuhuda jinsi alivyokuwa anaenda kwa waganga
AminaHakika. Tena hatuutumii Ukristo wetu vizuri ili ugeuke kuwa baraka zinazo onekana kwa macho.
Fanya wema hadi mtu fulani akununulie gari
🙏Amina
Ukristo ni mzuri sana, tatizo ni sisi Wakristo. Mkristo anadanga. Mkristo unaanzaje kuwa shoga? Mkristo tapeli, huaminiki, hata ukiagizwa buku tu ununue vocha unaila. Yaani hauko credible hata kidogo. Tusijitafutie laana kwa mambo ya kijinga"I love christianity but I hate christians" ..........Hatam Ghadhi
Noma sana jambaa, you nailed itUkristo na CCM ni vitu viwili tofauti kwa jinsi nilivyosoma Mkristo anavyotakiwa awe.
CCM imejaa dhuluma, wenye haki hawapati nafasi sababu tu hawana hela ya kuhonga wajumbe, hawana makundi, nk.
CCM imejaa wanafiki, waongo, wazandiki, wenye husuda, wachawi, walafi na wasio na utu.
Kilicho ua ukristo ni kutotenganisha capitalism na ukristo, pope ni mfanya biashara mkubwa anafanya deal za umafia nyingiUkristo ni mzuri sana, tatizo ni sisi Wakristo. Mkristo anadanga. Mkristo unaanzaje kuwa shoga? Mkristo tapeli, huaminiki, hata ukiagizwa buku tu ununue vocha unaila. Yaani hauko credible hata kidogo. Tusijitafutie laana kwa mambo ya kijinga
Juzi alikuwa na kikao cha dakika 45 na Mkurugenzi wa shirika la Jesuit wakiujadili ushoga. Tutege sikio tusikie mtikisiko mkubwa unaokujaKilicho ua ukristo ni kutotenganisha capitalism na ukristo, pope ni mfanya biashara mkubwa anafanya deal za umafia nyingi
Shame on us Christians"I love christianity but I hate christians" ..........Hatam Ghadhi
Kupenda pesa ndio chanzo cha uovu wote. (Pesa sio chanzo cha uovu, ila kuzipenda pesa ndio chanzo cha uovu)Juzi alikuwa na kikao cha dakika 45 na Mkurugenzi wa shirika la Jesuit wakiujadili ushoga. Tutege sikio tusikie mtikisiko mkubwa unaokuja
Kilicho ua ukristo ni kutotenganisha capitalism na ukristo, pope ni mfanya biashara mkubwa anafanya deal za umafia nyingi
Wanadamu ni vyombo mikononi mwa Mungu, wanaotumiwa na Yeye kutimiza
Makusudi yake ya neema na rehema. Kila mmoja ana sehemu yake ya kutenda;kwa kuwa kila mmoja amepewa kiasi cha nuru(maarifa kutoka katika maandiko), itumikayo kulingana na mahitaji ya wakati wake na yenye kumtosha ili aweze kufanya kazi ambayo Mungu ametoa yeye kufanya.- E. G White.