PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

PostGE2025 Wakrislam waishangaza BBC, DW na dunia baada ya kuzima udini kwa ubunifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,560
Reaction score
7,914
Ikumbukwe dunia imekuwa kwenye vita vya udini maeneo mengi yamekuwa yakiwa kwenye vita bila kupata suluhisho la kutatua udini, huku makundi yenye itikadi kali za udini yakiacha majeraha makubwa. lakini kwa watanzania imekuwa tofauti.

Lakini kwa Tanzania sasa wamekuja na muunganiko wa krislam kama umoja na mshikamano kwa kauli za kibunifu ili kuzima udini huo, hali inayoweza kufungua milango ya mataifa yaliyochafuka kwa udini kuitumia mbinu hiyo.

Swali, Je ukrislam unaweza kuenea zaidi afrika na duniani na kuwa sulihisho la matabaka ya udini kuisha ?

Tanzania ilikumbwa na mizozo ya udini kwa siku chache baada ya maandamano huku mashekhe wakitoa kauli za udini na za kutisha kuwa samia anachukiwa na Gen z kwasababu ni muislam pia baadhi walisikika kuwa waandamaji walikuwa wakristo tu.

Sasa gen z wamejitokeza na Ukrislam kuunganisha umoja wa vijana wa kitanzania mbinu ambayo ndani ya siku chache imekuwa maaarufu ndani na sasa inaanza kuvuka mipaka kimataifa.

Shirika la habari la kimataifa la BBC limeripoti.



Screenshot_20251125-100521_Lite.jpg

shirika la habari is kimataifa la DW lime ripoti na wameomba wafundishwe.

20251125_105640.jpg
 
Paka anabaki kua PAKA na chui anabaki kua CHUI Hawawezi kua Pakchui
Watanzania tumekuwa mitaani na mashuleni kwa dini tofauti tofauti hasa hawa wa kizazi kipya huwezi kuwagombanisha wakina hamisi na kina yakobo, wakina hadija na kina sabrina ni ndugu.

Tujifunze katika uhalisia na ukweli unaoendelea
 
Watanzania tumekuwa mitaani na mashuleni kwa dini tofauti tofauti hasa hawa wa kizazi kipya huwezi kuwagombanisha wakina hamisi na kina yakobo, wakina hadija na kina sabrina ni ndugu.

Tujifunze katika uhalisia na ukweli unaoendelea
Tunaishi kwa kutegemeana sote ndo maisha yalivo lakini inapofika suala la dini kila mtu na anachokiamini
 
Kuna wakati itambidi hata yule mjiinga wa Mwisho kabisa kuamini kuwa, Tanzania hasa Watangayika ni watu wa aina yake na kipekee sana

Hawa watu, hujikuta wamechafukwa kwa kulazimishwa mno na viongozi wao wa kiserikali

Ni nchi moja ya kipekee mno

Huyo shekhe mjinga na lugha yake ya kipumbavu kukata vichwa watu, ni lazima akubaliane na uhalisia wa jinsi Mungu alivyotutofautisha na kuamua atuweke kipeke yetu

Udini ni ujinga unaotafuna watu wenye roho mbaya na ya kwa nini yeye tu??
 
Umeshaambiwa hao ni gen z na ukrislamu ndio dink Yao na wewe ni mzee hiyo haikuhusu
Ktk uislam ukishakua baleghe tu unatakiwa ujitambue, hakuna Uislamu ukachanga na dini nyegine, hio ni kufuru
 
Back
Top Bottom