Wakopaji wa fedha

Kumkopesha mtu hujenga uaminifu we jiulize kwanini alikuja kukopa kwako na si kwa mtu mwingine? Na pia mtu akikopa uaminifu wake ndo utaamua akulipe ama laa vinginevyo hakunaga sheria inayomfunga mkopaji otherwise aliweka dhamana
 
Kama unanijua vile...kuna mtu alinizingua na hela yangu, nikafanya vimbwanga nikamletea polisi, chapwa viboko Sana ndo akalipa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]....yaan ukianza kudai inabidi uwe kichaa ndo utalipwa hivi hivi kwa mdomo hulipwi ng'oo
[emoji28][emoji28] subiri tu, ngoja uletewe migambo !
 
hakika! kuna watu wana fikra za ajabu kweli, anakukopa anakwambia nitakupa siku flani, ila kwa sababu umenyaza anaona uyu hana shida nayo anapotezea, na siku nyingine anaweza kuja kukukopa bila aibu kabisa !
Kuna mwamba alikiwa ananikopesha sana kipindi niko juu ya mawe, nikawa namrudishia kwa wakati,

Siku zikaenda akapata changamoto nikamkopesha yeye, hakuwahi kunilipa, na tunachat kama kawaida wala haongelei suala la kunilipa, akaja kupata changamoto ya pesa, akanicheki huku anajihami "ooh najua unanidai, nitaweka bond XXX" nikamjibu tu sina maana pesa niliomkpesha ni nyingi ambayo ningefanya jambo la maana tu,

Mkikopa mjue na kulipa jamani
 
hakika !
 
Watu hawalipi asee...mi mwenyewe nadaiwa hela ndefu najisikia vibaya asee kutokumlipa huyu mtu😥...na sio kwamba sina hela ninayo ila moyo mziiiitooo🤔
Kwa MTU kama Mimi uwa na kanuni zangu hizo moja ya kanuni zangu,

Siwezi kukukopesha pesa kubwa kama sijawahi kukukopesha pesa ndogo ukarudisha ,

Kama hiyo ndogo Tu , uneshindwa kulipa basi , biashara ndiyo Inakua imeishia hapo

Unakua umenunua mema kwa senti mdogo ambayo ningeweza kukutendea maishani.
Mnafanya nini kuwapenda wawapendao maana hata makahaba huwapenda wawapendao nanyi mkopeshapo msitizamie kurudishiwa maana hata wenye dhambi hufanya hivyo pia bali nyinyi mtoapo toeni kwa moyo wala mstalajie kupokea kitu
Unazungumzia pesa hii yakutafutwa kwa jasho au yakupewa bure.
 
Jashoo
 
Watu hawalipi asee...mi mwenyewe nadaiwa hela ndefu najisikia vibaya asee kutokumlipa huyu mtu😥...na sio kwamba sina hela ninayo ila moyo mziiiitooo🤔
Kwa MTU kama Mimi uwa na kanuni zangu hizo moja ya kanuni zangu,

Siwezi kukukopesha pesa kubwa kama sijawahi kukukopesha pesa ndogo ukarudisha ,

Kama hiyo ndogo Tu , uneshindwa kulipa basi , biashara ndiyo Inakua imeishia hapo

Unakua umenunua mema kwa senti mdogo ambayo ningeweza kukutendea maishani.
Mnafanya nini kuwapenda wawapendao maana hata makahaba huwapenda wawapendao nanyi mkopeshapo msitizamie kurudishiwa maana hata wenye dhambi hufanya hivyo pia bali nyinyi mtoapo toeni kwa moyo wala mstalajie kupokea kitu
Unazungumzia pesa hii yakutafutwa kwa jasho au yakupewa bure
Natamani Ni mwage maarifa hapa , sema ndiyo hivyo Mimi Ni Mvivu kutype
 
Mwagaaa kizuri kula na watu
 
Aysee kuna mmoja haapa nmemkopesha lak tano naona ananiletea mazing'aombwe...alikuwa anairudisha baada ya wik mbili..ss hiv anajifanya mzigo uliaribika...na analipa..kulipa mpk nimuombe..nawaza cha kumfanya ila sina...hapa jiran ana kipombe shop nawaza kwenda kuzoa mzigo wote dukan ili hela yangu ilipwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…