Kama hufanyi biashara ya pesa usikopeshe pesa ovyo. Niliwahi kumkopesha mtu mmoja wa heshima sana, aliniomba pesa kiasi kwa nafasi yake nikampa kadi, alipokwenda benki akachungulia salio akavuta nyingi zaidi, akarudi na slip kuniambia ameongeza zaidi, sikuona shida, shida kuipata hiyo pesa! Acha tu na urafiki wetu uliisha, na heshima yake tulikwazana nikampeleka mbele tukasuluishwa akanilipa. Nimekoma.Kichwa cha Habari
Nimechukia sana: Hivi nyie mnaokopeshwa hela mna funza kichwani au tabia zenu ni za kishoga?
Wakuu salamu,
Nipo na hasira ya kufa mtu na leo situmii ustaraabu hata kidogo. huu upumbavu, ushamba na uhuni unaofanywa na watu wanaokopa hela za dharura
Mtu ana shida, anajiliza na kuomba mpaka unamhurumia Unajinyima, unaingia kwenye benki unamtumia laki 5 au milioni 1 kwenda kwenye simu yake Hapo tayari wewe umeshakatwa makato ya kutuma
Ujinga wao unaanza hapa
Kuchelewesha hela, Hela inakaaaa wweeeh kwake! Wakati anaomba anapiga simu kila sekunde, akishapata anarudisha anavyojisikia yeye mpaka umpigie magoti.
Kurudisha hela kavu, Anarudisha ile laki 5 au milioni 1 kamili! Hivi kichwani mmejaza funza?
Hamjui kulikuwa na makato wakati inatumwa? Yanini mimi niliyemsaidia niingie hasara ya kulipia makato ya shida zake?
Hawa watu sio bure, tabia zao ni za kishoga kabisa Mtu mzima anayejielewa hawezi kuwa na tabia za kilewela, kilegevu na za kisongombingo kwenye hela ya mtu.
Kulialia wakati wa shida halafu ukipata hela unaleta mambo ya hovyo ni tabia za hovyo sana
Mtu hana adabu ya kifedha, hajiongezi kuweka hata ya kutolea, halafu kesho akikwama anategemea umkopeshe tena.
Wakuu mimi nimechukia sana. Ungekuwa wewe, unaweza kumkopesha mpuuzi wa namna hii tena?
Yeap , si mmeua polisi ile ni vita , mbona mnaleta huruma ?"polisi akitishiwa kulengwa jiwe na raia mara moja polisi anatakiwa kushambulia kwa silaha aliyo nayo ambayo ni bunduki Shut and kill"
THABIT KOMBO
Alafu anatuambia hakusema yeye😂😂😂😂😂😂😂😂"polisi akitishiwa kulengwa jiwe na raia mara moja polisi anatakiwa kushambulia kwa silaha aliyo nayo ambayo ni bunduki Shut and kill"
THABIT KOMBO
Hakuna kuremba wala kucheka na nyani Ukileta ushoga kwenye jasho langu, nakupiga Shoot and kill ya dharau na kukupiga marufuku kukanyaga getini kwangu Watu wa namna hii dawa yao ni kuwawahi mapema"polisi akitishiwa kulengwa jiwe na raia mara moja polisi anatakiwa kushambulia kwa silaha aliyo nayo ambayo ni bunduki Shut and kill"
THABIT KOMBO
inathibitisha kuwa uaminifu umekufa kabisa duniani.Kama hufanyi biashara ya pesa usikopeshe pesa ovyo. Niliwahi kumkopesha mtu mmoja wa heshima sana, aliniomba pesa kiasi kwa nafasi yake nikampa kadi, alipokwenda benki akachungulia salio akavuta nyingi zaidi, akarudi na slip kuniambia ameongeza zaidi, sikuona shida, shida kuipata hiyo pesa! Acha tu na urafiki wetu uliisha, na heshima yake tulikwazana nikampeleka mbele tukasuluishwa akanilipa. Nimekoma.
Kweli kabisaWanaokopa ni matapeli , hakuna jina jingine la kuwaita tena ni dhulmat kabisa . Mimi wakibanwa na bank nafurahi sana , mtu una mpa pesa kavu bila ya masharti wala riba ila halipi na kujifanya mjanja . Hpa nilipo , nimepoteza pesa nyingi ;ningeweza hata kununua kiwanja.
Usikopeshe mtu ,uanfanya biashara kichaa , haina faida. Unampa pesa bila ya faida , baadaye unaanza kupata tabu ya kumtafuta .
Walinisajilia wao kwa vitambulisho vyao wakanitumia kwenye gari sijatumia changu na sijasaini popoteKweli nazingua ila usifanye maamuzi ukiwa na hasira! Kumbuka kama kuna mkataba mliandikishana wanaweza kukupeleka kwenye vyombo vya sheria.
Imekuaje tena post imepotea njia kmmkWe jamaa unazngua sasa [emoji3]
ama kwa hakika,Kichwa cha Habari