Wakopaji kuweni makini,matapeli.

Wakopaji kuweni makini,matapeli.

Siku za ajabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,369
Reaction score
987
Kuna kampuni moja ipo hapa Dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu wanajifanya wanakujengea nyunba kwa mkopo kama una kiwanja.
Ukikubali wanakwambia kwanza tujenge mahusiano ya mkopo kwa kuchukua mkopo mdogo tu kama laki5,
Ndugu ukikubali huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.

Kuna ndugu katapeliwa kwa miezi 3 marejesho ni milioni 1.5 mkopo laki5 na anarejesha mwaka mzima.
Patapicha!

Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.
 
weka habari zote hapa.mf.jina la kampun.makao makuu.mawasiliano yake tuwafanyie kazi kwani huo ni wizi na udanganyifu ni kinyume na sheria za nchi.
 
Kuna kampuni moja ipo hapa Dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu .......
......huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.

Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.
siku za ajabu kweli hizi ni siku za ajabu!!!
 
Ni mtu kanambia kwa kuwa alikuwa anafuatilia pesazake akagoma kunipa jina ila ofisi ndo kasema,na mimi nafanya uchunguzi kuijua.
 
Tunashukuru. Jitahidi kutusaidia habari kamili ukikamilisha, itakuwa msaada kwa wengine.
 
Kuna kampuni moja ipo hapa Dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu wanajifanya wanakujengea nyunba kwa mkopo kama una kiwanja.
Ukikubali wanakwambia kwanza tujenge mahusiano ya mkopo kwa kuchukua mkopo mdogo tu kama laki5,
Ndugu ukikubali huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.

Kuna ndugu katapeliwa kwa miezi 3 marejesho ni milioni 1.5 mkopo laki5 na anarejesha mwaka mzima.
Patapicha!

Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.

Fuatilia kampuni vizuri kwa jina na ushahidi wa waliokopa halafu ishughulikiwe kuanzia hapa hapa JF?!! Ila hapo polisi wetu hawapo kweli?
 
kuna kampuni moja ipo hapa dar cjui kama mikoani ipo,wana mbinu chafu wanajifanya wanakujengea nyunba kwa mkopo kama una kiwanja.
Ukikubali wanakwambia kwanza tujenge mahusiano ya mkopo kwa kuchukua mkopo mdogo tu kama laki5,
ndugu ukikubali huo mkopo marejesho yake hawasemi vizuri lakini wanakata zaidi ya 300%.

Kuna ndugu katapeliwa kwa miezi 3 marejesho ni milioni 1.5 mkopo laki5 na anarejesha mwaka mzima.
Patapicha!

Mi cjui jina la kampuni hi ningewaambia ila ofisi zake ziko maeneo ya posta.
siku za ajabu wewe ni mtu wa ajabu unatuleta habari nusunusu kiajabuajabu kwa maajabu hivi! Ama kweli siku za mwisho zitakuwa na majabu na watu wa ajabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom