Jamani Ruhazwe JR na Madame B mbona hamuonekani? Au ndo mpo kijijini kwenye kikao cha usuluhishi? Mana toka Ruhazwe utangaze kumtema bibie naona ziiiiii, au mmejipiga ban?

nikiona neno ban nahuzunika sana, humu jf kupigwa ban kumbe ni rahis sana kuliko nilivyokuwa nafikiri, mode akiamua tu kutokipenda unachopost unapigwa ban bila hata onyo,