Naam. Waliko pia Ngereja, Rost tamu l'azizi, Matilida Burian, Paulo Kimiti, Geturuda Mongella, Leticia Nyerere, Fatma Saidi Ally, Dr. Ulimboka, Ask. Kilaulaini, Zamoyoni Mogella, Mohamed Mwameja, Padri Mwaisapile, Fande Tibaigana, na wengine weeeeengi tu. Ni kifo tu KITAWATOA kwenye haya Makumbusho.Wako kwenye makumbusho ya siasa
Leticia Nyerere alishafariki siku nyingiNaam. Waliko pia Ngereja, Rost tamu l'azizi, Matilida Burian, Paulo Kimiti, Geturuda Mongella, Leticia Nyerere, Fatma Saidi Ally, Dr. Ulimboka, Ask. Kilaulaini, Zamoyoni Mogella, Mohamed Mwameja, Padri Mwaisapile, Fande Tibaigana, na wengine weeeeengi tu. Ni kifo tu KITAWATOA kwenye haya Makumbusho.
Ooops! Mungu AIWEKE Roho yake mahali pema peponi!Leticia Nyerere alishafariki siku nyingi
Si ungekwenda itv wakutafutie?Wilson Mkama aliyewahi kuhudumu kama Katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi ccm kwa kipindi fulani huku akikumbukwa sana katika uchaguzi wa marudio kule Igunga Tabora baada ya kuachia ngazi aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo Ndugu Rostam Azizi. Atakumbukwa zaidi kipindi cha tambo za watu wa Lumumba almaarufu "helkopta tatu kata tatu"
Mustapha mkulo aliyewahi kuwa mbunge wa Kilosa ccm na waziri wa fedha uchumi na mipango wa taifa hili. Mwanasisa nguli na mwenye ushawishi Mkubwa ndani na nje ya ccm. Katika kipindi chake atakumbukwa zaidi kwa misamaa mikubwa ya kodi katika makampuni makubwa na hasa migodi.
Shamsi Vuai Nahodha, aliyewahi kuwa waziri Kiongozi katika serikali ya mapinduzi Zanzibar, mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na kuhudumu kama waziri wa mambo ya ndani ya nchi nafasi ambayo aliitendea haki kwa kiasi fulani.
Wamepotea kabisa watu hawa Katika tasinia ya siasa za hapa kwetu. Wamekuwa hawasikiki kabisa. Popote walipo naomba kukumbushwa. Au ndiyo zilipendwa!?
Wastaafu wengine hutumia busara na kuamua kukaa kimya.Shamsi nafikiri bado ni mbunge wa jmt, Mukama miezi kadhaa nyuma nilimuona akihojiwa channel 10 nafikiri na Makwaia Wa Kuhenga.
Mkulo ndio sijamsikia kabisa. mwanasiasa mwingine aliyepotea kabisa ni Dr. Ibrahim Msabaha, sijui yuko wapi?