Wahutous na Hamasi wapo wapi??😂 Wewe unajifariji🤣🤣! Akuna na atotokea wa Kubambana na Israel. Irani 40 yrs anatumia mabilioni ya Dola- Kaisha yeye. Houtous sasa hivi ata jiwe awajarusha,Hamasi yupo anasingizia Swaumu🤣 ajarusha ata mbegu ya Tende...kuelekea Israel. Wewe Taifa limepigana mpaka na Mungu (tafuta asili ya Jina Israel) Utaliweza wapi??Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv.
Umewaona Hezbullah au bado
View: https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI
Afu kuna fununu wametekwa askari wa Israel walijidai eti makamanda kushuka kutoka kwenye Helcopter kutumia Parachutes.
View: https://youtu.be/Ql9bTdpIM98?si=WKroEMOsVZ4mg--V
Huyu waziri alikuwa akitamba ataigeuza Lebanon kama Gaza mtoto wake inasemekana kaumizwa vibaya sana na Hezbullah
Sisi hatufungi masaa 24 linapozama jua tukisikia Adhani Allahu Akbari tunachukua Tende afu tunasema Bismillah Rahman Rahim Allahumma laka sumtu wa Alarizqika aftartuHarafu unadanganya watu eti Umefunga!!
We jitoe akili tu tazama vitu si ulisema Hezbullah wako wapi wamekupa jibu acha kuwasikiliza Israel ni waongo sana kama vile wewe.Clip ulizoweka zina lugha za Majini hivyo watu wengi hawaelewi wanaongea nini
Hivyo kuziweka hapa ni sawa tu kama unajifariji-fariji Baada ya kipogo kupigo cha Mbwa-koko.
Hahaha dogo Al Houth wamesema tunasubiri iran atuambie lini tuanze wewe unasema wako wapi nimeisha kuambia kwenye jina loko lile katika yale 30+ Al Houthi wapo, na Hamas wapo kila mmoja atatoka kwa wakati wake. Pia si ulikuwa unasema Hezbullah wako wapi au umesahau wa majina kama utitiriWahutous na Hamasi wapo wapi??😂 Wewe unajifariji🤣🤣! Akuna na atotokea wa Kubambana na Israel. Irani 40 yrs anatumia mabilioni ya Dola- Kaisha yeye. Houtous sasa hivi ata jiwe awajarusha,Hamasi yupo anasingizia Swaumu🤣 ajarusha ata mbegu ya Tende...kuelekea Israel. Wewe Taifa limepigana mpaka na Mungu (tafuta asili ya Jina Israel) Utaliweza wapi??
Nimeona Cluster bombs zinavyopopolewa kwa ustadi na majeshi ya IsraelWe jitoe akili tu tazama vitu si ulisema Hezbullah wako wapi wamekupa jibu acha kuwasikiliza Israel ni waongo sana kama vile wewe.
View: https://youtube.com/shorts/tijog9mgVaY?si=AOgUQYeizpYyfiBK
Ndiyi mission haikufanikiwa kwa sababu hawakulipata hilo kabuki lakini walirudi wote salama shida iko wapi?Mbona wamezuia ambush ya makomandoo wa Israel kutokea upande wa Syria? Au huna habari kuwa mission failed?
Israel kills dozens in Lebanon after failed mission to find pilot’s remains
Commandos started digging up grave thought to be of famous IDF pilot, leading to gunfight followed by airstrikeswww.theguardian.com
Endelea kuwaramba miguu magaidi eti wanangoja waambiwe lini waende wamesahau walipopoteza karibu baraza lote la mawaziri? Anyway endeleeni kusubiri!!Hahaha dogo Al Houth wamesema tunasubiri iran atuambie lini tuanze wewe unasema wako wapi nimeisha kuambia kwenye jina loko lile katika yale 30+ Al Houthi wapo, na Hamas wapo kila mmoja atatoka kwa wakati wake. Pia si ulikuwa unasema Hezbullah wako wapi au umesahau wa majina kama utitiri
Jifurahishe tu anga la Israel ni free kwa sasa vitu vi ashula tu, Hata walidai wamemua Mujtabaa Khomen mara hawezi kutoka kichwa chake kimepasuka hahahaNimeona Cluster bombs zinavyopopolewa kwa ustadi na majeshi ya Israel
We msikilize tu Israel na America.Endelea kuwaramba miguu magaidi eti wanangoja waambiwe lini waende wamesahau walipopoteza karibu baraza lote la mawaziri? Anyway endeleeni kusubiri!!
shehe ina maana sa ivi mdudu haupigi kabisa?Sisi hatufungi masaa 24 linapozama jua tukisikia Adhani Allahu Akbari tunachukua Tende afu tunasema Bismillah Rahman Rahim Allahumma laka sumtu wa Alarizqika aftartu
Maana yake
Ewe Allah, kwa ajili yako nimefunga, na kwa riziki yako nimefuturu
Kula chumaWahutous na Hamasi wapo wapi??😂 Wewe unajifariji🤣🤣! Akuna na atotokea wa Kubambana na Israel. Irani 40 yrs anatumia mabilioni ya Dola- Kaisha yeye. Houtous sasa hivi ata jiwe awajarusha,Hamasi yupo anasingizia Swaumu🤣 ajarusha ata mbegu ya Tende...kuelekea Israel. Wewe Taifa limepigana mpaka na Mungu (tafuta asili ya Jina Israel) Utaliweza wapi??
Kwani wewe akili zako watu wanafunga masaa 24shehe ina maana sa ivi mdudu haupigi kabisa?
Hahahaha kweli aisayNimeona Cluster bombs zinavyopopolewa kwa ustadi na majeshi ya Israel
Wajinga tu kama wewe ndiyo wanaweza kuamini uongo huuWe msikilize tu Israel na America.
عاجل | مقر خاتم الأنبياء المركزي: نحو 200 قتيل وجريح في قاعدة الظفرة الأميركية. https://search.app/EzeoM
Hawawezi kukuambia askari 200 wameuliwa huko Abu dhabi jwenye base ya Al Dhofra
Clip ulizoweka zina lugha za Majini hivyo watu wengi hawaelewi wanaongea nini
Hivyo kuziweka hapa ni sawa tu kama unajifariji-fariji Baada ya kipogo kupigo cha Mbwa-koko.
USA anataka kumkimbia Israeli we amini usiamini ukweli ndio huo base ya Abudhab inaitwa Mdhafar imesafishwaWajinga tu kama wewe ndiyo wanaweza kuamini uongo huu
Ama kweli kwenye Madrasa yenu mnadanganyana sana!!USA anataka kumkimbia Israeli we amini usiamini ukweli ndio huo base ya Abudhab inaitwa Mdhafar imesafishwa
Trump kaomba Oman anataka kuongea na Mujtab Khomen kajibiwa sisi hatuna mazungumzo mpaa tumalize taifa linalo itwa Israel