Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,609
- 1,738
Nini kimezisibu wodi za wazazi? Tumeacha kuzaa wachezaji wafurahishaji? Kama bado wanazaliwa wanapotelea wapi?
Sioni manjonjo kama ya Kanu. Yameadimika machenga kama ya Ronaldinho. Taabu kushuhudia mambo kama ya Okocha.
Ndio, Messi ni mzuri! Ronaldo (sio yule mwingine wa kweli) ana kasi. Lakini hawatoi raha kama zile za enzi za kina Zizzou!
Rejea chenga hizi matata: "La roulette de Zidane" & "Les flip flap de Ronaldinho - Zinedine Zidane vs Ronaldinho - YouTube
cc: Gang Chomba

Last edited by a moderator: