Wako wapi wachezaji hawa?

mwembemdogo

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
2,282
1,252
Wapenda soka ninaomba mnijuze waliko wachezaji wetu wa zamani wa soka:
Jumanne masimet
Mohamed bakari Tall
Omari chogo
Malota soma
Martin kikwa
 
Ahmed Masha
Abeid Mziba
Juma pondamali
Omar Hussein
Juma pondamali mensah kocha wa makipa yanga
Amasha yupo arabuni kuna waqt alikuwa kocha wa timu ya taifa ya vijana
Abeid mziba-tekelo yupo hapa hapa jijini namkumbuka kuna viatu flan hivi vya turubali alikuwa anapenda kuvivaa mpaka vikabatizwa jina lake vilikuwa chuchu zake zimetengenezwa kama korosho flan hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom