Pesa za wateja kwenye akaunti ya mkekabet hazipo. Huu ni wizi. Nani anawalinda pale Gaming Board? Haiwezekani udhulumu wananchi halafu kampuni iendelee kufanya kazi. Inabidi serikali kuingilia kati.
Wamefunga operation ghafla almost 2 months now ligi zimeanza wamerudi na pesa za watu wamekula. Hii kampuni haina credibility ya kuendesha betting Tz otherwise uhuni huu utaigwa na kampuni zingine na kulaghai wananchi.