MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
UVCCM huwa wana tabia za kuolewa Mombasa, hivyo ukizungukazunguka mitaa ya Mombasa mida ya magharibi unaweza kukutana nao wakitokea sokoni wakiwa wamejifunika ushungi kama ilivyo desturi za mabinti wa pwani!
Kafulila angewasumbua sana kwa uchambuzi na ufuatiliaji.
Katambi naye angeleta chokochoko kule maeneo ya karibu na home baada ya kum-slaughter kamanda Mawazo.
MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
WALIDHURUMIWA POSHO ZAO NDIO MAANA WAMEKUWA WAPOLE PIA WANANYANYASIKA SANA NA WATOTO WA NDANI YA NDOA HUKO KWENYE FAMILIA YA MAMA YAO WA KAMBO.WANATAMANI ARDHI IPASUKE WAINGIE KISHA WAKAIBUKIE KWINGINE.
MAKADA wapya Wa ccm Kafulila na Katambi wamekuwa kimya sana hata kwenye KAMPENI za UBUNGE KINONDONI hawakujitokeza kumnadi Mgombea wao .Nilitegemea wangemwaga SERA za hali ya juu mpaka Chadema wasipate hata KURA 10.
Katambi akiona anasahaulika ataitisha tena mkutano na waandishi wa habari na kuelezea 'sababu za kuhama chadema'! Haijalishi ni mara ngapi alishaelezea!