Wako wapi hawa wanasiasa??

Wako wapi hawa wanasiasa??

Madodi

Senior Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
176
Reaction score
60
Ni muda mrefu sana umepita sijawasikia hawa makomredi waliovuma enzi zao km vile, steven Mashishanga, Edgar Maokola Majogo, Arcado Ntagazwa,Wilson Masilingi, Prof.Sarungi, daniel ole njolaay
 
wale wote waliokuwa na mlengwa wa ujamaa na maadili ya uongozi yaliyotukuka kimewapata walichostahili. Arcado yupo CDM
 
ok mkuu nimekupata..alihamia lini cdm??
 
Back
Top Bottom