Tetesi: Wakishamaliza kumuangamiza January Makamba, wanahamia kwa Selemani Jafo

Leo Pombe katuma message kubwa kwa mababa. Thubutuni na mtaona kama watoto wenu watabaki kuwa mawaziri; wabunge; makatibu wakuu!

Message sent and delivered kwa WAZEE!

Lawama zote kwa John
Kwa hiyo DC Moshi mjini Kipi Warioba ajiandae kwa sababu mzee wake naye anatajwa kwenye hujuma dhidi ya Magufuli?
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingatia umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi ambaye kasi yake na mvumo wake wa utendaji unawatishia wasakatonge kuu 2025.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Uhuru wa maoni huu.
 
Jafo ni Muislam lakini Sio Mzanzibar.

Jafo hana migogoro hata na wapinzani.

Angalau Jafo ameonyesha umahiri mkubwa pale Tamisemi.

Nasadiki unayoyasema isipokuwa nawaza, Je! Wazanzibar watabembelezwaje?

Naona mtu hatari kwenye mipango ya 2020 au 2025 ni Hussein Mwinyi.

Kwanza huwezi kumchafua, pili haonyeshi kuwa na tamaa ya madaraka,tatu hana mgogoro na wapinzani.

Ni MZANZIBARA anayekubalika kote bara na visiwani.

Jeshi linamkubali amefanya kazi na na ma CDF watatu.
Sio kwamba kwenye system ya ulinz hayazungumzwi yanatetwa tena sana bro unahakil sana kwa hapa bongo hakuna Wa kumchafua mwinyi.......
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingatia umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi ambaye kasi yake na mvumo wake wa utendaji unawatishia wasakatonge kuu 2025.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Duh! Jamii Forums ni hatari.
 
Makamba was a well-written-off Page on the wall. Alipewa uwaziri kwa mbinde, wazee walipanga foleni,kama shukurani kwa kazi yake nzuri 2015 from Masaki TC. Then, it was just a matter of time tu, ili AFURUSHWE. Nakumbuka hadithi yake na FILIKUNJOMBE na Uwaziri mkuu, what happened?
 
Jafo ni Muislam lakini Sio Mzanzibar.

Jafo hana migogoro hata na wapinzani.

Angalau Jafo ameonyesha umahiri mkubwa pale Tamisemi.

Nasadiki unayoyasema isipokuwa nawaza, Je! Wazanzibar watabembelezwaje?

Naona mtu hatari kwenye mipango ya 2020 au 2025 ni Hussein Mwinyi.

Kwanza huwezi kumchafua, pili haonyeshi kuwa na tamaa ya madaraka,tatu hana mgogoro na wapinzani.

Ni MZANZIBARA anayekubalika kote bara na visiwani.

Jeshi linamkubali amefanya kazi na na ma CDF watatu.

Hussein Mwinyi tunamwangalia kuwa ni Mbara %. wazanzibari wanataka mtu wao wa znz. huyu hussein Mwinyiu hajawahi kukaa znz tokea kuzaliwa kwake. Hakujui znz. wenywe ndani ya CCM hawamtaki. Susi ACT wazalendo tunamkraibishi aje ashindane na mtu wetu na tutamshinda mapema labda CCM watumie ZEC, POLISI, TISS na majambazi wengine wa kuiba kura.
 
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingatia umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi ambaye kasi yake na mvumo wake wa utendaji unawatishia wasakatonge kuu 2025.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
Like za kutosha kiona mbali
 
Hicho chama ni zaidi ya shetani mnyonya damu
Habari wadau.

Vita vya urais 2025 kama sio 2020 vimeanza kupamba moto. Inadaiwa RC fulani anaandaliwa kuwa Rais japo wengi wataona ni kichekesho.

January Makamba hivi sasa anaonekana ni tishio hapo Mbeleni ukizingatia umri wake. Nadhani mwafahamu kinachoendelea.

Unaambiwa lazima aangushwe na baada ya hapo mishale na gemu zito litahamia kwa Selemani Jafo ambaye ni waziri Tamisemi ambaye kasi yake na mvumo wake wa utendaji unawatishia wasakatonge kuu 2025.

Source: Naiweka siri kwa sasa.
 
Hii Tanzania ya serikali ya awamu ya 5 ukienda sehemu ambayo hakuna network ukija kurudi online unaweza kukuta baraza lote la mawaziri limebadilishwa ama hata jina la Tanzania limebadilishwa ukakuta inaitwa Chato aisee.

Lawama zote kwa John

Umenivunja mbavu Zote.
Wewe kiboko.
 
Back
Top Bottom