mud-oil-chafu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2020
- 588
- 950
Halafu hawana time na siasa na nakampun makubwa....yaan wahuni wanapiga mishe privately bila kumshilikisha mtu Wala nini...nchi imeitenga njombe ...wachaga wamejaa Crdb , na nmb, wanyakyusa na wasukuma jeshin,Moshi bar ya ukonga?
Dah maisha haya.
sizungumzii ipogoro, nazungumzia mitaa yenu ya town jirani na stendi ya zamani mpaka mitaa inayozunguka uwanja wa mpira wa samora.
hii mitaa ukingia usiku kuanzia saa tano, unaikuta ipo doro sana.
nikiwa katika safarini zangu za iringa, hii ndio mitaa ambayo huwa nafikia.
na kwa taarifa yako, mda huu nikiwa type comment hii, nipo hapa ccm napata kitimoto na windhoek kadhaa za kulalia.
View attachment 1979033
nimekaribiaKaribu kihesa bwashee!
Daah, umenifundisha kitu flani kikubwa sana, hujui tu, huo ni zaidi ya uchawi. Halafu kwanini sikuwaza hili jambo before, damn!
Mwakipande anahusika sana kwenye utajiri wa wakinga!
broo mud oil chafu upo mkuu hahahahaa wanasemaje hapo mk?Halafu hawana time na siasa na nakampun makubwa....yaan wahuni wanapiga mishe privately bila kumshilikisha mtu Wala nini...nchi imeitenga njombe ...wachaga wamejaa Crdb , na nmb, wanyakyusa na wasukuma jeshin,
Ila wahuni ni matighter na hawana shobo
Wakinga washenzi sana,wanaanza kwa kuunza Katanga after 5 yrs ana ghorofa.
nimekaribia
Dah maisha haya.
Yaani ashapigwa para.
Weeee usiniambiye huyu ndio HB sazuri boy
Pow but now npo iringa bwasheebroo mud oil chafu upo mkuu hahahahaa wanasemaje hapo mk?
πππ
Mwakipande ni mjomba wake bilionea David Sanga aka Jah People ( MB )Haya ya mwakipande wa makete ni maneno tu halafu nenda wewe uone utapewa nini, Alhamisi kila Alhamisi ni siku ya kutoa sadaka kwa wakinga na matambiko ni kitu cha kawaida kwa makabila mengi lakini hoja nimekuelekeza pale juu stock tu ndio huwatoa wakinga wengi sawa na kipindi cha mvua pia ua cement inashuka bei maana hakuna watu wengi wanaojenga sasa ukinunua tani hata 300 au 500 ikifika mwezi wa tano mwishoni kwenda wa sita wewe utaiuza kwa faida sana maana ujenzi unapamba moto time hiyo
Pia ni wezi kuna mmoja enzi za utafutaji alitoroka na pesa zote za mtaji wa mbao, ila nilikutana nae dodoma kachoka hasaWachaga wameacha ujambazi?
Kwahiyo huyo mwendakuzimu ndio mungu?
Dogo umepaki nini trela lako pembeni kwa mama ntilie unafakamia msosi na kupiga umbea. Hadi ufike kwa sheli ya MSOMALI njia panda ya Lusaka si utachelewa. Acha kuendekeza msosi.2. Wakinga hawa wanafanyabiashara za kati na kubwa kwa mfano maduka makubwa ya jumla jumla na kwa sasa majengo makubwa hawa hawana upinzani wanafight siri kubwa mkinga ni mwaminifu mno hawezi kudhulumu na ananidhamu ya pesa kuliko kawaida
Ahaaa daaa basi fresh Arif Aluta continua kamanda nikajua upo hapa Kwa bwana Jah People nije nikupe hai!Pow but now npo iringa bwashee
Kwahiyo huyo mwendakuzimu ndio mungu?
Mungu gani sasa anayekufa tena kwa corona?
Dogo umepaki nini trela lako pembeni kwa mama ntilie unafakamia msosi na kupiga umbea. Hadi ufike kwa sheli ya MSOMALI njia panda ya Lusaka si utachelewa. Acha kuendekeza msosi.