Wakina dada pita hapa


cc
lara 1
 
Last edited by a moderator:
Mkono kwa mkono akiomba pesa na wewe omba mzigo mwambie pesa haina tatizo leta mzigo nikupe akisema yupo kwenye moon mwambie namie pesa zipo ATM.
 
Watoto ambao familia zao si nzuri kifedha ni kero
 
Mkono kwa mkono akiomba pesa na wewe omba mzigo mwambie pesa haina tatizo leta mzigo nikupe akisema yupo kwenye moon mwambie namie pesa zipo ATM.

Ndo ujanja wenu siku hizi....eti kadi ya ATM imezama teh teh
 
Yani ukiombwa pesa jua kabisa hutakiwi,na jinsi mnvyopenda vya bure basi hiyo ndio njia ya kuwakataa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…