Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 48
Hahahaaaaa!wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini huyu jamaa ananipenda kweli UNAJUA MNATUMIA MBINU GANI??????????
MWANADADA ATOMBA PESA KIASI(HIKI NDIO KIPIMO KUJUA KAMA ANAPENDWA)USIPOMPA BASI UMEVURUGAA SITAKI KUAMAINI ILA NDO IVO...NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA..
ASANTEN SANA
Hahahaaaaa!
Kama huna mkwanja, madem bomba watabak kuwa shemeji zako....
"haswaaaaa!!!"mapenzi pesa baba maua waachie nyuki
MWANADADA ATOMBA PESA
wakina dada wa sasa noma sana unamtongoza leo kwavile ume introduce wazo geni ambalo alikuwapo kichwani mwake inamchukua siku kadhaa kukubali/kukataa sasa balaa linakuja pale atakapo taka kuamini huyu jamaa ananipenda kweli UNAJUA MNATUMIA MBINU GANI??????????
MWANADADA ATOMBA PESA KIASI(HIKI NDIO KIPIMO KUJUA KAMA ANAPENDWA)USIPOMPA BASI UMEVURUGAA SITAKI KUAMAINI ILA NDO IVO...NIMEANDIKA KISHKAJI ILA UJUMBE UMEFIKA..
ASANTEN SANA
mapenzi pesa baba maua waachie nyuki
Hehehehhe
sio jambo la kucheka ujue shaur zako ila ukweli unaujua
Ukweli gani?
kwamba toa helaaaa wewe hujaonaga kila sehemu lazima utoe pesa ndio upate kitu???? maisha ni namba ndugu
kwamba toa helaaaa wewe hujaonaga kila sehemu lazima utoe pesa ndio upate kitu???? maisha ni namba ndugu