Wakili wa Professor Monyo Arusha soma hapa kabla ya kukata Rufaa

Jipu-bishi

Senior Member
Feb 16, 2016
105
103
Ninaomba Watanzania wenzangu mniunge Mkono kwa hiyo:
Pamoja na kukata Rufaa, Wakili nakuomba ufungue concurrent kesi ya kuomba Mahakama kutengua Sheria ya Utumishi wa Wa Umma mwaka 2002 kwa sababu zifuatazo:

1. Sheria inawanyima Watanzania uhuru wao wa Kikatiba ya kufanya kazi na kulipa kodi kwenye nchi yao.

2. Sheria Imevunja Katiba ya Jamhuri ya mwaka 1977.

3. Sheria inabagua, Wabunge wanaruhusiwa kulipwa mishahara kwa pesa za Umma lakini darasa la Saba hapana. Huu ubaguzi kwa raia ambao jasho Lao ndio linajenga mstakabali wa nchi yetu.

4. Mahakama itamke wazi TAKUKURU mkoa wa Arusha ni incompetent team.

5. Mahakama iifanyie tafsiri hiyo Sheria kwa kuiita Sheria ya Haki Sawa kwa Utumishi wa Umma, na kila Raia anahaki sawa mbele ya mwajiri yeyote bila ubaguzi wa Rangi, Kabila, Umri, Jinsia na Elimu.

I rest my case to be corrected.
 
Mdanganye uone, watakavyo muongezea la Ubadhirifu wa Fedha takribani Billion 2 mali ya serikali!!

Bora atulie zake Uraiani na mwaka 1 wa nje.
 
Takukuru Makao Makuu mnashauriwa ku- overhaul ofisi ya Takukuru Ofisi ya Mkoa wa Arusha haraka sana.
 
Issue za mahakama inategemea na mawakili wanaokutetea vs mawakili wa unayepambana nae
 
Mdanganye uone, watakavyo muongezea la Ubadhirifu wa Fedha takribani Billion 2 mali ya serikali!!

Bora atulie zake Uraiani na mwaka 1 wa nje.

Hiyo itakuwa kesi Mpya uchunguzi Mpya jalada jipya au lilile la mahakama ya Wilaya.
Only in Tanzania.
 
Back
Top Bottom