Alvin Slain JF-Expert Member Aug 30, 2011 6,375 3,655 Apr 3, 2021 #1 Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe gharama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi. Nakaribisha michango yenu. ASANTE
Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe gharama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi. Nakaribisha michango yenu. ASANTE
L Lihove2 JF-Expert Member Mar 23, 2018 3,168 5,689 Apr 3, 2021 #2 Unahisi unahitaji mwanasheria? Nadhani hakuna bei elekezi, nadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani. Kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa, sababu utakuwa na kesi nyingi.
Unahisi unahitaji mwanasheria? Nadhani hakuna bei elekezi, nadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani. Kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa, sababu utakuwa na kesi nyingi.
Alvin Slain JF-Expert Member Aug 30, 2011 6,375 3,655 Apr 3, 2021 Thread starter #3 Lihove2 said: Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani. kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa,sababu utakuwa na kesi nyingi Click to expand... Ndio ninahitaji mkuu ndio maana nikataka nijue inakuaje kuaje ili uwe na wakili binafsi.
Lihove2 said: Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani. kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa,sababu utakuwa na kesi nyingi Click to expand... Ndio ninahitaji mkuu ndio maana nikataka nijue inakuaje kuaje ili uwe na wakili binafsi.
srinavas JF-Expert Member Jun 5, 2011 4,024 3,586 Apr 3, 2021 #4 Inategemea na Kesi atakayosimamia. Na namna atakavyosimamia na namna ya makubaliano yenu. Hayo ndio yata determine Gharama
Inategemea na Kesi atakayosimamia. Na namna atakavyosimamia na namna ya makubaliano yenu. Hayo ndio yata determine Gharama
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Aug 8, 2015 21,254 34,205 Apr 3, 2021 #5 Alvin Slain said: Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe garama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi. Nakaribisha michango yenu. ASANTE Click to expand... Kama hujaoa tafuta mke ambaye ni mwanasheria. Hapo gharama ni bure ila jiandae kwa vimbwanga ndani ya nyumba (kama atakua hajielewi).
Alvin Slain said: Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe garama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi. Nakaribisha michango yenu. ASANTE Click to expand... Kama hujaoa tafuta mke ambaye ni mwanasheria. Hapo gharama ni bure ila jiandae kwa vimbwanga ndani ya nyumba (kama atakua hajielewi).
K Kimwakaleli JF-Expert Member Apr 16, 2018 3,897 5,354 Apr 3, 2021 #6 Lihove2 said: Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani... Click to expand... ππππππ!
Lihove2 said: Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani... Click to expand... ππππππ!
M mteule senior JF-Expert Member Oct 4, 2015 281 192 Apr 3, 2021 #7 Upepo wa Pesa said: Kama hujaoa tafuta mke ambaye ni mwanasheria. Hapo gharama ni bure ila jiandae kwa vimbwanga ndani ya nyumba (kama atakua hajielewi). Click to expand... hahahah dah mwanangu umenichekesha
Upepo wa Pesa said: Kama hujaoa tafuta mke ambaye ni mwanasheria. Hapo gharama ni bure ila jiandae kwa vimbwanga ndani ya nyumba (kama atakua hajielewi). Click to expand... hahahah dah mwanangu umenichekesha
ndege JOHN JF-Expert Member Aug 5, 2015 19,579 44,825 Apr 3, 2021 #8 Upepo wa Pesa said: Kama hujaoa tafuta mke ambaye ni mwanasheria. Hapo gharama ni bure ila jiandae kwa vimbwanga ndani ya nyumba (kama atakua hajielewi). Click to expand...
Upepo wa Pesa said: Kama hujaoa tafuta mke ambaye ni mwanasheria. Hapo gharama ni bure ila jiandae kwa vimbwanga ndani ya nyumba (kama atakua hajielewi). Click to expand...
Mpoloo New Member Aug 13, 2019 3 1 Apr 7, 2021 #9 Lihove2 said: Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani. kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa,sababu utakuwa na kesi nyingi Click to expand...
Lihove2 said: Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani. kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa,sababu utakuwa na kesi nyingi Click to expand...
chapangombe JF-Expert Member Sep 28, 2014 362 289 May 26, 2021 #10 Alvin Slain said: Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe garama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi. Nakaribisha michango yenu. ASANTE Click to expand... Kimsingi huwa nimakubaliano tu na aina ya kazi Kuna mkataba mnaingia baina ya lawyer na wewe
Alvin Slain said: Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe garama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi. Nakaribisha michango yenu. ASANTE Click to expand... Kimsingi huwa nimakubaliano tu na aina ya kazi Kuna mkataba mnaingia baina ya lawyer na wewe