Wakili wa mtu binafsi analipwa bei gani?

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Wakuu wa kazi naomba mnifahamishe gharama za kulipa wakili wa mtu binafsi ni shilingi ngapi.

Nakaribisha michango yenu.

ASANTE
 
Unahisi unahitaji mwanasheria? nadhani hakuna bei elekezi,inadhani inategemea na wewe ni mtu wa shughuli gani.

kama wewe ni jambazi bei itakuwa kubwa,sababu utakuwa na kesi nyingi
Ndio ninahitaji mkuu ndio maana nikataka nijue inakuaje kuaje ili uwe na wakili binafsi.
 
Inategemea na Kesi atakayosimamia. Na namna atakavyosimamia na namna ya makubaliano yenu. Hayo ndio yata determine Gharama
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom