Elias Msuya
Senior Member
- Dec 23, 2011
- 173
- 671
Muda mfupi baada ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kukiri kumshikilia, Godlove Materu, wakili wake, Aloyce Komba amelihoji Jeshi la Polisi maswali matano, akisema taarifa hiyo:
Soma pia: Madereva wa malori waipa Serikali siku 2 mwenzao apatikane
1. Wanamshikilia katika kituo gani cha polisi mkoani Songwe.
2. Ni uhalifu gani mtuhumiwa alipanga kufanya ambao hauna dhamana.
3. Mtuhumiwa alikamatwa lini na kwa nini familia yake au viongozi wa madereva au mwanasheria wake hawakuambiwa?
4. Je, ni hatua gani zinafuata ili haki zake mtuhumiwa zisiendelee kuminywa kwa takribani siku tano (5) sasa. Kama haachiwi, lini atafikishwa mahakamani?
5. Taarifa zipi ni sahihi? Za mke wake mtuhumiwa ambaye alishuhudia waliomkamata kwa nguvu wakiwa wamevaa kiraia hawakujitambulisha au taarifa za sasa za polisi baada ya tamko la viongozi wa vyama vya madereva na mimi mwanasheria wao?