Wakili: Simba hawana haki ya kupata chochote

“Hili suala la Yanga kuweka mabango hata mimi nimeliona, kisheria sioni madai yoyote ambayo Simba anaweza kuwa nayo dhidi ya Yanga, Yanga wamechukua video ambayo imetengenezwa na Azam TV“

“Mwenye umiliki wa hayo maudhui ni Azam TV, TFF na Bodi ya ligi wameuza maudhui yote kwa Azam TV na wao wana exclusive right,”

“Ukija kwenye uwanda huo Yanga wametumia maudhui ya Azam TV, mtu ambaye ana ukaribu na hili ambaye angeweza kudai chochote ni Azam TV kama Yanga wameyatumia bila idhini”

SportsXtra | - Wakili Lugomo /Wakili kutoka ofisi ya mawakili ya Mzizima Advocates

NB: Makolo njia iliyobaki ni kuandamana tuView attachment 2815178
Mahakama ndiyo itatoa hukumu yeye katoa maoni yake tu
 
JamiiForums-539638265.jpg
 
Huyo wakili kilaza sheria ni pana sana .....amefikilia simba wasipoishtaki yanga wakawashtaki wabandika bango? ...sababu mbandika bango akibanwa nn kinatokea hapo ........


Haya mambo ni km ukwepaji wa kodi mtu kakuibia unaona kakwepa kodi kabisa ila huwezi mshtaki rejea uuzwaji wa hisa voda😁😁 sheria ni segment ya uhuni pia baadhi ya maeneo
 
Huyo wakili kilaza sheria ni pana sana .....amefikilia simba wasipoishtaki yanga wakawashtaki wabandika bango? ...sababu mbandika bango akibanwa nn kinatokea hapo ........


Haya mambo ni km ukwepaji wa kodi mtu kakuibia unaona kakwepa kodi kabisa ila huwezi mshtaki rejea uuzwaji wa hisa voda sheria ni segment ya uhuni pia baadhi ya maeneo
Ana uzoefu wa kutosha
 
Ana uzoefu wa kutosha
Sheria hainaga uzoefu hii ni km mambo ya intelligence tu. Hata uwe mzuri vipi ukiacha tobo wanakuvuna


Ndio maana huyu akishinda anaweza kata rufaa akashinda mwingine na yule nae akikatata rufaa na yeye anashinda
 
Hawa ndio mawakili waliwadanganya yanga wakienda CAS watashinda kesi ya Morrison.
Leo nimepita klabu ya yanga wameweka bango hamna logo yoyote ya Simba Wala maandishi ya kutambulisha Simba zaidi ya kuandika 5-1 kwa sababu wameshajua wamefanya makosa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom