Wakili: Simba hawana haki ya kupata chochote

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,777
24,211
“Hili suala la Yanga kuweka mabango hata mimi nimeliona, kisheria sioni madai yoyote ambayo Simba anaweza kuwa nayo dhidi ya Yanga, Yanga wamechukua video ambayo imetengenezwa na Azam TV“

“Mwenye umiliki wa hayo maudhui ni Azam TV, TFF na Bodi ya ligi wameuza maudhui yote kwa Azam TV na wao wana exclusive right,”

“Ukija kwenye uwanda huo Yanga wametumia maudhui ya Azam TV, mtu ambaye ana ukaribu na hili ambaye angeweza kudai chochote ni Azam TV kama Yanga wameyatumia bila idhini”

SportsXtra | - Wakili Lugomo /Wakili kutoka ofisi ya mawakili ya Mzizima Advocates

NB: Makolo njia iliyobaki ni kuandamana tu😂
1700116554899.jpg
 
“Hili suala la Yanga kuweka mabango hata mimi nimeliona , kisheria sioni madai yoyote ambayo Simba anaweza kuwa nayo dhidi ya Yanga ,Yanga wamechukua video ambayo imetengenezwa na Azam TV “

“Mwenye umiliki wa hayo maudhui ni Azam TV, TFF na Bodi ya ligi wameuza maudhui yote kwa Azam TV na wao wana exclusive right,”

“Ukija kwenye uwanda huo Yanga wametumia maudhui ya Azam TV ,mtu ambaye anaukaribu na hili ambaye angeweza kuda chochote ni Azam TV kama Yanga wameyatumia bila idhini”

SportsXtra | - Wakili Lugomo /Wakili kutoka ofisi ya mawakili ya Mzizima Advocates


NB: makolo njia iliyobaki ni kuandamana tuView attachment 2815178
Hawa mawakili njaaa wa mchongo au wengine????

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom