(Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim)"Nyinyi huleta mashauri yenu kwangu. Huenda mmoja wenu akawa na hoja yenye nguvu kuliko mwingine, nikamhukumia kwa mujibu wa nilivyosikia. Yeyote nitakayempa kitu cha haki ya ndugu yake kwa hukumu yangu, basi asikichukue, kwa kuwa hakika namkatajia kipande cha moto wa Jahannam."
😄malaria umebadilika sana siku hizi.
Kuna kipindi ulikuwa unapinga sana ChademaSijawahi kumtakia mtu yoyote jambo baya. Mimi ni muislam
Hata Netanyahu Mkuu?Sijawahi kumtakia mtu yoyote jambo baya. Mimi ni muislam
Mnaleta mila za miarabu kwenye Sheria?Mtume (S.A.W) alisema:
(Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim)
🔑 Maana yake:
Si sahihi kutumia hoja za ujanja, udanganyifu, au ufasaha wa maneno kumkandamiza au kumnyang’anya haki mtu mwingine.
Mwanasheria au mtetezi wa kesi anapaswa aseme ukweli na kusimama kwa haki, si kutumia uhodari wake kuhalalisha dhulma.
Mafunzo ya Kiislamu kwa Wakili au Mtetezi
1 Aseme ukweli hata kama ni mchungu.
2. Asitumie hoja za hila kuhalalisha batili.
3. Awe na nia ya kutetea haki, si kushinda kesi kwa gharama ya kumdhulumu mwingine.
HUU NDIO UISLAM
Siasa tu hio.Kuna kipindi ulikuwa unapinga sana Chadema
Huo ni Uislamu sio uarabu.Mnaleta mila za miarabu kwenye Sheria?
Si binadaam?Wakili ni komba, hana uislam wowote
Anzisha maaada hiiHata Netanyahu Mkuu?
Ni wewe huyu huyu au simu imehakiwaaaa..!!!???Sijawahi kumtakia mtu yoyote jambo baya. Mimi ni muislam
Kwanini?Ni wewe huyu huyu au simu imehakiwaaaa..!!!???
Hivi huyo wakili si Muislam?Mtume (S.A.W) alisema:
(Hadithi sahihi - Bukhari na Muslim)
🔑 Maana yake:
Si sahihi kutumia hoja za ujanja, udanganyifu, au ufasaha wa maneno kumkandamiza au kumnyang’anya haki mtu mwingine.
Mwanasheria au mtetezi wa kesi anapaswa aseme ukweli na kusimama kwa haki, si kutumia uhodari wake kuhalalisha dhulma.
Mafunzo ya Kiislamu kwa Wakili au Mtetezi
1 Aseme ukweli hata kama ni mchungu.
2. Asitumie hoja za hila kuhalalisha batili.
3. Awe na nia ya kutetea haki, si kushinda kesi kwa gharama ya kumdhulumu mwingine.
HUU NDIO UISLAM
“Msaidie ndugu yako, akiwa mnyonge au dhalimu.” Wakasema: Ewe Mtume wa Allah! Tunamsaidiaje dhalimu? Akasema: Kwa kumzuia asifanye dhulma.” (Bukhari)Hivi huyo wakili si Muislam?
Si binaadam?Hivi huyo wakili si Muislam?
Tufukue makaburi yako au tuache??? Maana Ruge, alishawahi sema hapa duniani ogopa Mungu na teknolojia..!! Tukufukulie makaburi yako?Kwanini?
Msimamo wangu wa kisiasa sio wa kibinadaamTufukue makaburi yako au tuache??? Maana Ruge, alishawahi sema hapa duniani ogopa Mungu na teknolojia..!! Tukufukulie makaburi yako?
Narudia swali langu, TUFUKUE MAKABURI YAKO ILI UPATE MAJIBU YA SWALI LA KWANINI ULILONIULIZA????Msimamo wangu wa kisiasa sio wa kibinadaam