Wakili Albert Msando hakushirikishwa na Mhe.Zitto katika kusaini kiapo kwa AG?

ikumbukwe kua Albert msando ni DIWANI kupitia CCM malizieni wenyewe nani kashikwa kubaya

[h=2][/h]

Mh!b CCM ? Hapana ni CHADEMA na amekuwa wakili wa kina Mbowe, Lema, Mtei na wengine, Kifupi kesi zote za CHADEMa Arusha amekuwa akizishughulikia huyu Jamaa.
 
Na kwenye katiba ya CHADEMA kuna kipengele kinachosema wanachama wake wanaweza kutetewa na mawakili kwenye mahakama za chama?

Inapokuja kwenye kupata haki, kama sheria za chama hazipo clear basi sheria mama (ya nchi) itatumika. So sioni kosa la Zitto katika kipengele hicho...
 
Last edited by a moderator:
Zitto awaombe radhi umma wa watanzania kwa kuwadanganya kuwa ana majina ya walioficha mabilioni uswis!
 
Back
Top Bottom