Wakenya Wamshukia Magufuli Amuachie Gichana (Mfungwa wa Kisiasa kutoka Kenya)

sijawahi kuona mtuhumiwa wa kesi isiokua na dhamana akaachiwa kwa twittter
Hayo mashtaka kwa Sheria yetu hayana dhamana pia sidhani kama ni mfungwa wa kisiasa kama wanavyodai na Sheria za kila nchi lazima ziheshimiwe (must) unapokuwa ndani ya nchi husika.
 
Hayo mashtaka kwa Sheria yetu hayana dhamana pia sidhani kama ni mfungwa wa kisiasa kama wanavyodai na Sheria za kila nchi lazima ziheshimiwe (must) unapokuwa ndani ya nchi husika.
Asante sana mkuu.
Hii komenti ingependeza ingekaa pale juu kabisa ukurasa wa kwanza.
 
Mbona na wao wanawataka watanzania wawili waliokamatwa na Nissan Patrol V8 ya wizi iliyoimbwa nchini mwao Agosti 19 mwaka huu na kuingizwa nchini maeneo ya Kwa Msomali kule Bomang'ombe wilaya ya Hai ? au wanataka ligi?,waache ukora
 
Money laundering is the generic term used to describe the process by which criminals disguise the original ownership and control of the proceeds of criminal conduct by making such proceeds appear to have derived from a legitimate source.
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
So you make money through illegitimate means and try to legalize it?
 
Kuna kitu sijaelewa hapa, hivi 2013 - 2018 ni miaka 7?, na wamerudia mara mbili mbili.. Hii habari ni feki au mwandishi hesabu zimempita pembeni?
Hao waandishi huku kwetu wanaitwa makanjanja
 

Nilikuwa sijui kumbe Rais Dkt. Magufuli alianza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tokea mwaka 2013 ambapo huyu Mfungwa Gichana alikuwa ndani? Sijui ni nani ' ameturoga ' Waafrika hadi tunakuwa akili finyu na za Kipopoma ( hovyo hovyo ) namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ