Wakenya tutacheza bila otieno....

miagie

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
215
Reaction score
76
Mwaka 1978 Kenya kulikuwa kuna mchezaji anaitwa Otieno Mboo.
walifanikiwa kufika Fainali ila huyo mchezaji aliumia mechi ya Nusu fainali,
Magazeti ya Kenya yaliandika vichwa vya habari "WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO", Raisi akazuia magazeti yote na kusema warekebishe hiyo sentensi....
Walibadilisha na kesho yake kuandika "WAKENYA KUCHEZA MBOO NJE"
Siku ya mechi Wanawake walifurika Uwanjani...:busu


Nipe like kama unamkubali Otieno
#TeamMaswali
 
Very, very humourous! Nimekupa like ya kawaida ila natamani ingekuwepo triple like.
 
ha ha ha asa hao wanawake si wana waume zao kwanin wanataka waone na za wachezaj wa harambee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…