Wakenya Mwaka huu mtaikimbia nchi

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,075
1,423
×

No break for Kenyans as electricity bills go up in new ERC charges

By Sam Gituku For Citizen Digital

An electricity bill.

In Summary

100 Units- Ksh. 2219Energy charge- Ksh.1580Total adjustment fee- Ksh.260Levies- Ksh.80VAT- Ksh.294

Kenyans who consume 100 units are now paying Ksh.381 more in their electricity bills compared to last month.

A spot check by Citizen TV found that heavy electricity consumers are the ones unaffected by the new charges after their power bills came down.

Also Read: Why Gov’t will slap you with Ksh.60 tax on each litre of fuel

At the end of last month, the Energy Regulatory Commission (ERC) announced that fixed electricity charges of Ksh.150 would be scrapped.

The move was allegedly aimed at reducing electricity bills for Kenyans and it saw the families who use less than 10 units of power benefit alongside bulk power consumers.

However, the middle class Kenyans consuming 11-684 units were hit hard by the new charges.

Also Read:

Why gov’t will slap you with Ksh.60 tax on each litre of fuelCost of power to reduce as ERC scraps fixed cost chargesEnergy regulator’s plan to reduce power bills

Below is a breakdown of the new tariffs on Kenyans’ electricity bills:

10 Units- Ksh.176

Energy charge- Ksh.120

Total adjustment fee- Ksh.26

Levies- Ksh.7

VAT (16%) – Ksh.23

Of the 176 shillings 5percent will go to Rural Electrification and another 3 cents to ERC levy.

100 Units- Ksh. 2219

Energy charge- Ksh.1580

Total adjustment fee- Ksh.260

Levies- Ksh.80

VAT- Ksh.294

500 Units- Ksh.11,095

Energy charge- Ksh.7900

Total adjustment fee- Ksh 1300

Levies- Ksh.423

VAT- Ksh.1472

2000 Units-Ksh. 44,380

Energy charge- Ksh.31,600

Total adjustment fee- Ksh.5,200

Levies-Ksh. 1692

VAT- Ksh. 5,888.

The taxes, levies and adjustments on electricity bills are said to be directed towards funding various government projects and programs.
 
Hebu nenda ukamsaidie na kumjibu Mtanzania huyu huku ambaye ameamua kuanika ukweli wote kuhusu mnavyoanzisha miradi na kuitelekeza ilhali mingine ni hasara.....Ukifuata uzi huo watu wametiririka makubwa ikiwemo kupigwa kwa 1.5 trilion

Hamna mradi wowote ulioanzishwa na CCM ukawa Na matokeo mazuri.
Kwanini miradi mingi inayoanzishwa na Serikali haina matokeo chanya? - JamiiForums

1. Uwanja wa Taifa uko mekemeke hope hae, umekongoroka.

2. Ndege ni hasara Kila kukicha

3. Mwendokasi ni majanga

4. Hostel za UDSM Mlimani City ni full expansion joints

5. Standard Gauge imesha anza kuzingua Huko wilayani Bagamoyo

6. Barabara mpya zinafumuliwa na kuanza kujengwa upya

Yaani hakika TUNALALA KWA HUZUNI KAMA TULIVYOAMBIWA kwenye Isaya 50:11

Kwanini miradi mingi inayoanzishwa na Serikali haina matokeo chanya? - JamiiForums
 
kwanza pengije mtuambie 1.5 trillion zipo wapi? tena mtupe taarifa ya Tundu Lissu
 
Hao ni watoto wasiojua walisemalo.
1. Bagamoyo na SGR wapi na wapi!!?
2. Mwendokasi bado ni best example in sub Sahara if not Afrika, licha ya changamoto.
3. Ndege zimeanza kuleta faida rejea taarifa ya hivi majuzi.
Mengine yana changamoto za KAWAIDA tu.

Wewe endelea kupambana na hali YENU ya KUKOPA PESA ili kulipa DENI.
 
Bagamoyo dead
SGR kaza vyuma
ATCL Bombay tutafika lini?
Airtel IPO backfires
 
Bagamoyo dead
SGR kaza vyuma
ATCL Bombay tutafika lini?
Airtel IPO backfires
kwanzza alikosea pindi tu alipotaja shirika la ndege...shirika la ndege lililofufuliwa mwaka 2018....mashirika ya ndege yamekuwa yakifanya kazi decades jamaa anazungumzia shirika la 2018...
 
Back
Top Bottom