Wewe unaish wapi?Kuna watu wameshia form two wamefeli mtihani ule wa kidato cha pili je wamesoma?mwamko wa elimu ulikuja juzi juzi nandio maana walimu wengi wa hizi shule za english medium ni wakenya,pia kuna jamii ya wafugaji muamko ni 0 wa shule labda sasa hivi ambapo tumetangaziwa shule bure mpaka kidato cha 4.Wakenya wengi wanakwenda shule kuliko sisi watanzania? How could you say that? Kila mtanzania ana nafasi kubwa ya kupata elimu ya msingi, au shule zipi unasema wewe?
Wewe unaish wapi?Kuna watu wameshia form two wamefeli mtihani ule wa kidato cha pili je wamesoma?mwamko wa elimu ulikuja juzi juzi nandio maana walimu wengi wa hizi shule za english medium ni wakenya,pia kuna jamii ya wafugaji muamko ni 0 wa shule labda sasa hivi ambapo tumetangaziwa shule bure mpaka kidato cha 4.
Jamii ya wafugaji wengine hawahjui chochote,kuna kijana anitwa butu amefika form two kule unguja,wallahi naapa hajui hata kuandika jina lake.Sasa mtu aliyeishia form two si amekwenda shule, au vipi? Au unataka kuniambia wakenya wote wamefikia elimu ya chuo? Au wafugaji wa Tanzania tu ndio hawaendi shule?
Jamii ya wafugaji wengine hawahjui chochote,kuna kijana anitwa butu amefika form two kule unguja,wallahi naapa hajui hata kuandika jina lake.
Sijaona tatizo hapo kwako mleta uzi.
Naona unaielewa nchi yangu vizuri wakamba hata video wanaita mbindiyo. Si wakamba pekee Kenya kule mashinani kiswahili ni sheeda. Hujaskia kitu, ingekuwa ni kwetu kwa bibi kule ukikuyuni hungejua ni kiswahili huko wanakigeuzaga kinakua kijapani. Kuna siku nimeamkuliwa 'masaramu mareikuu' baada ya kusikia tukiongea kiswahili na binti yangu.Wakamba katika ubora wao
mazoea hujenga tabia.Accent? Dah we mzee hebu jiheshimu. Accent ni namna ya UTAMKAJI sio maandishi.