Jemedal_bin_chichi
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 542
- 585
Labla unaongelea wasukuma,wagogo,wanyamwez, songea na Iringa za huko Zimbabwe, lkn si Tanzania hiiKuna wasukuma hawajui hata neno moja la kiswahili mkuu,wagogo wapo,wanyamwezi na hata ukienda songea na kule iringa hawajui kiswahili bora huyo wa nduka amepiga hatua!
kuna kitu kinaitwa LAHAJA/ACCENT (kama sijakosea) ambayo ni mada maalum (waliosoma lugha) wanakijua hiki nisemacho. lugha yoyote lazima inanyumbulika kulingana na jamii/mipaka/elimu/ustawi na hadhi inakotumika.
mfano. English.
ukisikiliza waganda wanaongea tofauti na wakenya, Nigeria au Jamaica inazungumza tofauti na Afrika Kusini. tofauti hizi hujikita si tu katika ving'ong'o/kiimbo/ phonology bali hata katika msamiati.
hata Kiswahili kina lahaja kwa makabila ya humu Tanzania na nje yetu. mfano kongo, burundi
Wewe hujatembea nakuambia wapo,tatitizo we unaenda mwanza nyegezi ilemela na dodoma maili mbili chikuyu wapo yupo bibi wa kinyamwezi pale manyoni singida alikuwa shangazi wa aliyekuwa mke wangu.alikuwa hajui kiswahili.Mwingine alikuwa bibi yake mzaa baba naye pia alikuwa hajui kiswahili.Labla unaongelea wasukuma,wagogo,wanyamwez, songea na Iringa za huko Zimbabwe, lkn si Tanzania hii
Unawajua wanyamwezi?Sio kweli kuna wagogo,wanyamwezi na wasukuma hawajui kiswahili mkuu.
Nawajua aliyekuwa mke wangu alikuwa na asili ya unyamwezi,bibi yake alikuwa mnyamwezi binti luhamba ni mnyamwezi.kama unakataa wewe kataa tu.Unawajua wanyamwezi?
HahahahaKuna wasukuma hawajui hata neno moja la kiswahili mkuu,wagogo wapo,wanyamwezi na hata ukienda songea na kule iringa hawajui kiswahili bora huyo wa nduka amepiga hatua!
Ni kweli mkuu huyu wa nduka anaafadhali kuna watu hawajui hata neno moja,nionavyo mimi huyu ni sawa na wakurya mahali pakusema mbali wanasema mbari na manyamwezi mahali pa Rushwa wanasema Lushwa.Sasa wewe utasema hao wanajua kiswahili?Hahahaha
Lkn cha ajabu huyu wa nduka anaweza akasimama kwa kinywa kipana akawaponda wabongo kuwa hawajui kiswahili.
Wakamba katika ubora wao
Mm nakubaliana na ww ila tofauti yetu na Kenya ni kuwa ukienda Mimi kikubwa ya bara kama Nairobi ,kisumu wengi hawajui kiswahili tofauti na TanzaniaWewe hujatembea nakuambia wapo,tatitizo we unaenda mwanza nyegezi ilemela na dodoma maili mbili chikuyu wapo yupo bibi wa kinyamwezi pale manyoni singida alikuwa shangazi wa aliyekuwa mke wangu.alikuwa hajui kiswahili.Mwingine alikuwa bibi yake mzaa baba naye pia alikuwa hajui kiswahili.
Wagogo na Wanyanwezi watoe hapo kwenye listKuna wasukuma hawajui hata neno moja la kiswahili mkuu,wagogo wapo,wanyamwezi na hata ukienda songea na kule iringa hawajui kiswahili bora huyo wa nduka amepiga hatua!
Accent? Dah we mzee hebu jiheshimu. Accent ni namna ya UTAMKAJI sio maandishi.kuna kitu kinaitwa LAHAJA/ACCENT (kama sijakosea) ambayo ni mada maalum (waliosoma lugha) wanakijua hiki nisemacho. lugha yoyote lazima inanyumbulika kulingana na jamii/mipaka/elimu/ustawi na hadhi inakotumika.
mfano. English.
ukisikiliza waganda wanaongea tofauti na wakenya, Nigeria au Jamaica inazungumza tofauti na Afrika Kusini. tofauti hizi hujikita si tu katika ving'ong'o/kiimbo/ phonology bali hata katika msamiati.
hata Kiswahili kina lahaja kwa makabila ya humu Tanzania na nje yetu. mfano kongo, burundi
kuna kitu kinaitwa LAHAJA/ACCENT (kama sijakosea) ambayo ni mada maalum (waliosoma lugha) wanakijua hiki nisemacho. lugha yoyote lazima inanyumbulika kulingana na jamii/mipaka/elimu/ustawi na hadhi inakotumika.
mfano. English.
ukisikiliza waganda wanaongea tofauti na wakenya, Nigeria au Jamaica inazungumza tofauti na Afrika Kusini. tofauti hizi hujikita si tu katika ving'ong'o/kiimbo/ phonology bali hata katika msamiati.
hata Kiswahili kina lahaja kwa makabila ya humu Tanzania na nje yetu. mfano kongo, burundi
kiswahili mkuu kunafundishwa shuleni kama somo na ni somo la lazima,na wakenya wengi wanaenda shule kuliko sisi watanzania .Mm nakubaliana na ww ila tofauti yetu na Kenya ni kuwa ukienda Mimi kikubwa ya bara kama Nairobi ,kisumu wengi hawajui kiswahili tofauti na Tanzania
mkuu siwatoi,wewe ukienda dodoma unaishia kizota nkuuungu na huku maeneo ya dodoma hoteli,nenda mpwapwa,miuji vijijini,kama waliweza kuchoma watu eti ni wanyonya damu una expect hata kiswahili wawe wanajua?bibi wa aliyekuwa mke wangu binti luhamba hajui kiswahili.Ni mnyamwezi.Pia wanyamwezi siwatoi.Tena haka ndio wanaongea kama watoto wanaanza kujifundisha maneno,kilia mahali wanaweka L je wanajua kiswahili?Nyie wabara kiswahili mmejifundisha ukubwani msinidanganye.Wagogo na Wanyanwezi watoe hapo kwenye list
Samahani Mkuu,mzaramo mmoja akiwa ni mvivu ni sahihi kusema kuwa wazaramo ni wavivu?mkuu siwatoi,wewe ukienda dodoma unaishia kizota nkuuungu na huku maeneo ya dodoma hoteli,nenda mpwapwa,miuji vijijini,kama waliweza kuchoma watu eti ni wanyonya damu una expect hata kiswahili wawe wanajua?bibi wa aliyekuwa mke wangu binti luhamba hajui kiswahili.Ni mnyamwezi.Pia wanyamwezi siwatoi.Tena haka ndio wanaongea kama watoto wanaanza kujifundisha maneno,kilia mahali wanaweka L je wanajua kiswahili?Nyie wabara kiswahili mmejifundisha ukubwani msinidanganye.
mkuu huyu aliyendik pyatu,pundi,spinder,na nduka ya ndawa ni wakenya wote?mkuu samahani kwa kusema wanyamwezi kwanza kule kwetu watoka bara wote ni wanyamwezi hatujui mtu mwingine.Ni kama watani zetu.Samahani Mkuu,mzaramo mmoja akiwa ni mvivu ni sahihi kusema kuwa wazaramo ni wavivu?
Nadhani ulipaswa umhukumu muhusika kwa kasoro yake na siyo kuwahukumu watu wote simply bcoz they belong on the same ethic group...,usifanye hivyo!
kiswahili mkuu kunafundishwa shuleni kama somo na ni somo la lazima,na wakenya wengi wanaenda shule kuliko sisi watanzania .