Wakenya mnanivunja mbavu...

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
kuna kitu kinaitwa LAHAJA/ACCENT (kama sijakosea) ambayo ni mada maalum (waliosoma lugha) wanakijua hiki nisemacho. lugha yoyote lazima inanyumbulika kulingana na jamii/mipaka/elimu/ustawi na hadhi inakotumika.

mfano. English.
ukisikiliza waganda wanaongea tofauti na wakenya, Nigeria au Jamaica inazungumza tofauti na Afrika Kusini. tofauti hizi hujikita si tu katika ving'ong'o/kiimbo/ phonology bali hata katika msamiati.

hata Kiswahili kina lahaja kwa makabila ya humu Tanzania na nje yetu. mfano kongo, burundi
 
Kuna wasukuma hawajui hata neno moja la kiswahili mkuu,wagogo wapo,wanyamwezi na hata ukienda songea na kule iringa hawajui kiswahili bora huyo wa nduka amepiga hatua!
Hii ni ajabu na kweli yani wasukuma na wagogo wasijue hata neno moja la kiswahili lakini wakati huo ndio lugha za makabila zinazokichangia kiswahili maneno zaidi!!...au mwalimu wangu wa kiswahili hakuwa anajua historia ya kiswahili!??...
 
Sio kweli kuna wagogo,wanyamwezi na wasukuma hawajui kiswahili mkuu.
 
Yote hayo ya nn
 
[emoji16][emoji16][emoji16]hata kwetu Chato huwezi kuta majinga ya kiwango hicho aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…