Wakenya acheni kufuata mkumbo

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Wakenya mnapaswa kujua tofauti ya Mwafrika na mzungu ni rangi tu hivo msiwe mazezeta wa kusubiri wawaamulie kila jambo akati nanyi mna akili.

Janga la Corona mpaka sasa halina tiba kamili dunia nzima hivo kila nchi inatumia mbinu mbali mbali kulikabili janga hili, but inasikitisha sana ninyi kuwa wategemezi wa fikra za Mzungu kwa kila kitu.

Halafu mlivyo wajinga mnaanza kupimana ubavu na sisi tuloishinda Corona kwa mbinu zetu, kama njaa tu inawashinda hadi mnapewa msaada wa chakula sisi mtatuweza?
 
hongera sana kenyatta waswahili ni wazee wa koronaaa! kazi kuzika zika kimya kimyaa..nyambaf sanaaa wafungie kabisa mipakani hukoo
 
Wakenya wangap wamezikwa huku tz. Au hujui wenzako wapo kibao wanajiachia tuu..kinachowatesa ninyi wala sio corona ni ujuaji wenu dharau zenu kwa Uwezo wa Mungu na hofu mliopandikizwa na wanaume zenu wazungu. Sasa hivi mnalia lia kwa aibu huku na sbu hamna cha kusema mnabakia kupotezea mawazo kwa kuipaka tz matope. Amini usiamini tz imeishinda korona..nafanya kaz hospitalin nakwambia ninachojua. Msitufokee
 
wanaujua ukweli sema wamebakisha maneno ya kanga ajili yakujifariji, tanzania kuna warundi, warwanda, waganda, wakenya na nk bt wote wapo salama sasa sijui wanaokufa ni wa tz pekee?
 
Wakenya wanakufa jamani....hali ni mbaya mnooo...njaa haikamatiki tena
ni kosa kubwa kuwahurumia watu wenye madharau, kiburi, majeuri na mafedhuli kama kenya, acha wafe maana walijua kejeli zao zitatudhuru wakasahau kua muda ndo hakimu mzuri.
 
Wakenya wanakufa jamani....hali ni mbaya mnooo...njaa haikamatiki tena
Wengi wameshaishitukia serikali yao, wanafuatilia sana maelekezo yanayotolewa na serikali yetu kwa wananchi wake na kuyafuata.

Wanatumia sana limao kwa tangawizi pia watu wa Mombasa wananunua sana dawa yetu ya NIMR.
Speed ya maambukizi Mombasa imepungua sana.

Tutaelewana tu!
 
washaufyata kimya kimya hawa nyang'au.
 
Wakenya mnapaswa kujua tofauti ya Mwafrika na mzungu ni rangi tu hivo msiwe mazezeta wa kusubiri wawaamulie kila jambo akati nanyi mna akili.

Janga la Corona mpaka sasa halina tiba kamili dunia nzima hivo kila nchi inatumia mbinu mbali mbali kulikabili janga hili, but inasikitisha sana ninyi kuwa wategemezi wa fikra za Mzungu kwa kila kitu.

Halafu mlivyo wajinga mnaanza kupimana ubavu na sisi tuloishinda Corona kwa mbinu zetu, kama njaa tu inawashinda hadi mnapewa msaada wa chakula sisi mtatuweza?
Who wametangaza kuzuia watu kusafiri siyo njia ya kuzuia maambukizo ya corona. Imetangazwa BBC swahili, 18:30hrs.

Lagos Nigeria, wameruhusu kanisa na misikiti kuendelea na ibada. Wamechelewa maana tayari shetani amejitwalia utukufu.

Kwa akili za Kenya watasema who ndo watalaam hawatampa credit magufuri
 
hongera sana kenyatta waswahili ni wazee wa koronaaa! kazi kuzika zika kimya kimyaa..nyambaf sanaaa wafungie kabisa mipakani hukoo
Kuna mkenya anaitwa Kigogo 2014, yeye kila siku alikuwa anatoa takwimu za watu kuzikwa, sasa hivi kaikimbia akaunt kaanzisha nyingine
 
Who wametangaza kuzuia watu kusafiri siyo njia ya kuzuia maambukizo ya corona. Imetangazwa BBC swahili, 18:30hrs.

Lagos Nigeria, wameruhusu kanisa na misikiti kuendelea na ibada. Wamechelewa maana tayari shetani amejitwalia utukufu.

Kwa akili za Kenya watasema who ndo watalaam hawatampa credit magufuri
mwaka huu wakenya tumewanyoosha.
 
Mchina katengeneza hofu ya dunia dunia mzima imeingia kingi isipokuwa Tanzania. Yeye hana dini na wote waliokuwa wanamwona kafiri sasa wanapokea maelekezo kutoka kwake nini wafanye ili wapate kupona. Trump na ujanja wake anakurupuka we mwisho wa siku anawafuata.

Kafanikiwa kuwavisha mavitambaa kwenye pua dunia nzima isipokuwa Tanzania na unskuta watu wanapoyavaa kwenye akili yao wanajidanganya kuwa yanawakinga kumbe ngooo!

Kuna watu wameteswa sana kwenye ofisi za umma na binafsi eti usipovaaa hayo ma mask huingii mchina kawateka akili hadi nyumba za ibada mmefunga mmekuwa mmpagani kama yeye

Kuna watu waliokuwa wanasema pombe ni haramu na dhambi lakini mchina katoa maelekezo dunia nzima kuwa watu wote wajipake pombe na wamefuata maelekezo bila chenga

Bongo tumshukuru Mungu na kwa kweli hatuvai cha haraka wala nini na hakuna shida yoyote na kama propaganda zilizokuwa zinaenezwa zingekuwa za kweli tungesgafutika woote

Biashara ya mabarakoa imeshindikana bongo na tunamshauri huyu jamaa anayechezea karate akili za watu na wakenya wakaingia kichwa kichwa awspelekee tena awaambie sasa mambo ysmebadilika wanatakiwa wave mbili mbili watakubali tuu si wanapenda sifa ili mzungu awaone kuwa nao ni wazungu weusi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom