Wake zetu mnakwama wapi....?

Weeeh Moseee weeweee...

Muonee huruma Dadii basi 😜

Ndo unaniteka hivyo ujue....

Yaani hapa kiwi ishapanda...😅
Na bahati yake sijapitia maembe dodo na zambarau pale Ng'ambo kwa Boga na kuzisafisha kandiloni.😂😂😂
 
Baada ya kulala inakuwaje?Unapaswa kuwa na akili ya kiutu uzima kuelewa nakuelekeza nini.
nimekuelew naxhukur kwa uxhaur wako ambao hautaxaidia chochote katka mfumo wa maixha yangu . Huna kaz za kufanya mkuu
 
nimekuelew naxhukur kwa uxhaur wako ambao hautaxaidia chochote katka mfumo wa maixha yangu . Huna kaz za kufanya mkuu
Nimeteuliwa nikufunze kuandika kwa kanuni.Unaandika kama umetoka kula makombo ya mbwa koko! Rectify the situation,kid!
 
Nimeteuliwa nikufunze kuandika kwa kanuni.Unaandika kama umetoka kula makombo ya mbwa koko! Rectify the situation,kid!
mind your buxinexx broo acha kufatilia maixha ya watu .jf is full of incredible things to look for and not on membaz lifestyle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…